Machinga ilitokana na marching guys. Vijana wanaotembea. Na vijana wengi waliofanya hiyo biashara ya kutembea walitoka Mtwara. Machinga imetokana na neno la kingereza "Marching guys.Enzi hizo machinga walikua wanatembeza bidhaa zao mitaani na kwa Dar kazi hii ilikua inafanywa zaidi na vijana wa kimakonde na ndio hapo lilipotoka jina hili la machinga(chinga,mmakonde)
Jinga Sana wewe jamaa eti serikali katili inafyeka pori wapelekwe HukoWawe wavumilivu serikali katili ya CCM itafyeka pori na kuwapeleka huko wakafanye biashara.
Media zimejawa upumbavu zinashindwa kureport habari zenye faida zinafata habari laini za machinga? Kama nchi mpango wetu ni mmoja tu nchi iwe safi basi.Halafu habari utakuwa unatoa wewe ?
Tanzania haikuwa na watu wa aina yako before hivi mmetoka wapi nyinyi?
Hawa wamachinga ni waongo,walipewa muda na wamepewa maeneo ya kufanyia kazi zaoHapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.
Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
Hapo kinachowafanya walie ni kwamba walizowea kufanya biashara na kuingiza kipato kikubwa bila kulipa kodi huku wakibebwa na lile jina la wanyonge lakini ukweli wengi wao ni wafanyabishara wanaostahili kulipa kodi,sasa wachukue fremu maeneo ya biashara wafanye biashara walipe kodi hakuna janja janja tena.
Leo ndio wanamlilia Mungu? Machinga walikuwa wanadharau kusali walikuwa hawaendi kanisani wala msikitini kutwa umachinga tu!!
Sasa tutarajie kuona makanisa na misikiti ikijaa machinga kusali kwa sana
Tumeachwa Imara X 2 (kiitikio)
[emoji38][emoji38][emoji38]mitano tenaUpuuzi mtupu, amalizie muda wake atoke.
Mungu hajaribiwi hivyo, kwamba asipofanya means hajasikia?Yulee mzee wa kwanza kasema Mungu kama anasikia afanye lolote?anamaanisha nn☹️
chama kile kile kiliwapiga fiksi kwamba wauzie popote , leo tena kimewageuka ! Siku zote tumeonya kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafikiMaendeleo yana gharama zake, itoshe tu kusema hivyo.
Matatizo hayawezi kumalizwa kwa kutumia akili zile zile zilizoyaletaWOTE TUKO NCHI HII
KUSEMA HAMKUPEWA TAARIFA NI UONGO MBELE YA MUNGU;
KUSEMA HAMKUPEWA SEHEMU YA KWENDA NI UONGO MBELE YA MUNGU
Mwandishi wa hii habari ni mchochezi na hana maana yoyote- si mkweli
Utaratibu ni muhimu kuufuata...Wanyonge wabomolewa na vitambulisho vyao mfukoni