Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Enzi hizo machinga walikua wanatembeza bidhaa zao mitaani na kwa Dar kazi hii ilikua inafanywa zaidi na vijana wa kimakonde na ndio hapo lilipotoka jina hili la machinga(chinga,mmakonde)
Machinga ilitokana na marching guys. Vijana wanaotembea. Na vijana wengi waliofanya hiyo biashara ya kutembea walitoka Mtwara. Machinga imetokana na neno la kingereza "Marching guys.
 
Always binadamu kukubali mabadiliko huwa ni ngumu lazima external force iwe applied ili wakae kwenye line.

Wamachinga wakubali kupangwa hakuna namna....wakae sehemu husika ili watozwe kodi kwa maendeleo ya taifa.
 
Halafu habari utakuwa unatoa wewe ?

Tanzania haikuwa na watu wa aina yako before hivi mmetoka wapi nyinyi?
Media zimejawa upumbavu zinashindwa kureport habari zenye faida zinafata habari laini za machinga? Kama nchi mpango wetu ni mmoja tu nchi iwe safi basi.
 
Inahuzunisha kwa hasara wanayopata kwa kweli!
Shida wanayoipata ni kwa sababu Mwendazake aliwazoeza vibaya kana kwamba angetawala milele! Kwa ukali aliokuwa nao kama angewashurutisha tangu mwanzo kuacha maeneo wasiyoruhusiwa kufanya biashara wangekuwa walishazoea.
 
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Hawa wamachinga ni waongo,walipewa muda na wamepewa maeneo ya kufanyia kazi zao

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hapo kinachowafanya walie ni kwamba walizowea kufanya biashara na kuingiza kipato kikubwa bila kulipa kodi huku wakibebwa na lile jina la wanyonge lakini ukweli wengi wao ni wafanyabishara wanaostahili kulipa kodi,sasa wachukue fremu maeneo ya biashara wafanye biashara walipe kodi hakuna janja janja tena.

Hii reply ilitakiwa uweke pamoja na yale mabango si ruhusa kufanya biashara eneo ili
 
Leo ndio wanamlilia Mungu? Machinga walikuwa wanadharau kusali walikuwa hawaendi kanisani wala msikitini kutwa umachinga tu!!

Sasa tutarajie kuona makanisa na misikiti ikijaa machinga kusali kwa sana

[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka usiku sana
 
ndio wakome na mlome kabisa yena nisiwasikie mnajiliza liza nakujipitisha mbele yangu ntawapa bakola za tom an jerry mkimbie mmenyanyua mikono alaaa,mnaturudisha nyuma kwa vitamaa vidogo vidogo,watu tumeanza kuifuatilia siasa enzi za kina mrema mpaka saizi tunaanza kuzeeka hatuoni chochote sababu yenu kudanganywa mnarudi nyuma,mkomee mkome na wawafukuze tu,
bado hii miana siasa inayopenda kuhama hama kuvunja nguvu wenzao,ndo nina hasira nao kuliko hao machinga kudadeki ngojeni tu,
hii dunia si inazunguka? nyie sana siasa feki feki wa kushibisha mitumbo yenu mmetupotezea muda toka tuna miaka kumi naaa samsing mpaka tunazeeka mnatudanganya hatua ya mwisho mnajidai wahamiaji wazuri kuliko ma forenaz,
kuna mwngine tumbili flan kitoto cha juzi tu hapa kilipata ctedit kujibizana kikajiona kimekua nacho kikarukia hukooo leo kina tuambia eti kilimo utajiri asee
tuacheni tuzeeke tu msitusumbue nina hasira sana na wanafiki
Fukuzaneni mpaka nje ya nchi@&&?#*(@& zenu alaaa!
 
Bila ya kufuata UTARATIBU huwa ni VURUGU NA GHASIA.....


Siempre JMT
 
Back
Top Bottom