Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Bongo zao bado haziwezi kuchambua nani anafaa kuwa Rais kwa maslahi mapana na ya muda mrefu ya nchikwa hiyo machinga sio watz^utakuwa indalahamwe au una vinasaba vya kihutu
we mbaguziWale wahindi wenye temple zao pale makoroboi hawawapendi machinga wapange ule mtaa
Mungu alishasikia siku nyingi na tayari amefanya, Mungu hapendi unafiki.Yulee mzee wa kwanza kasema Mungu kama anasikia afanye lolote?anamaanisha nn☹️
Kwani habari za wamachinga siyo habari ?Media zimejawa upumbavu zinashindwa kureport habari zenye faida zinafata habari laini za machinga? Kama nchi mpango wetu ni mmoja tu nchi iwe safi basi.
Kafie mbali rudi kwenu ila kupanga bidhaa hovyo noooo hata kije chama gan
Poleni huko Dada VickMakoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.