Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Wakati wafanyakazi wananyanyasika walifurahi kwa sababu wao si wafanyakazi

Wakati wafanyabiashara wanafilisiwa kwa kubambikiwa makodi wakifurahi eti watcha awanyooshwe

Wakati wapinzani wanadhulumiwa na kuumizwa walifurahi na kukejeli eti wacha wanyooshwe wamezidi viherehere

Sasa ni zamu yao, kuimba kupokezana



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mimi nimesema naunga mkono machinga katikati ya Jiji ? We mbona unaonekana boya sana. Pumbavu kabisa.
Kafie mbali rudi kwenu ila kupanga bidhaa hovyo noooo hata kije chama gan
 
Back
Top Bottom