Huoni kama huko ni kuendeleza Mada hapa😥Nyuzi za Arusha Vs Mwanza zpo nyingi Sana , tushapeleka Uzi mpak thread ya mia na kitu huko tukibishana mwanza Vs Arusha , nenda huko ukaaupdate Wana watakuja...hapa unapoteza mda tuu , yaani mpka bar za Arusha zishapostiwa....unaharibu maudhui ya huu Uzi wa wanamwanza na vipicha vya Arusha mkuu