Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Unashukia Nyegezi au Ilemela wangu [emoji4][emoji4][emoji4]?Hello Mwanza Mwanza jiji la miamba+samaki[emoji8][emoji39], nakuja kutembea wenyeji mpo?
Bado hata sijaanza safari mkuu, ila sijawahi kufika kabisa hivo sifahamu hizo sehemu🤔Unashukia Nyegezi au Ilemela wangu [emoji4][emoji4][emoji4]?
Karibu sana, Ilemela kama utakuja na Bomberdier na Nyegezi ni akina Dar Lux.Bado hata sijaanza safari mkuu, ila sijawahi kufika kabisa hivo sifahamu hizo sehemu[emoji848]
Ahsante mkuu! Ntakuja na Dar Lux tu😀Karibu sana, Ilemela kama utakuja na Bomberdier na Nyegezi ni akina Dar Lux.
MmmmmmhAhsante mkuu! Ntakuja na Dar Lux tu[emoji3]
Nini Ely? Mbona unaguna?Mmmmmmh
Habari za asubuhi mkuuNini Ely? Mbona unaguna?
Mbayaaa😬😬Habari za asubuhi mkuu
Nini kimepelekea mpaka habari za asubuhi kwako ziwe mbaya mkuu?Mbayaaa[emoji51][emoji51]
Achana na Dar lux, Kamata Chungwa babe, Kamata Allys babe, hiyo inatunza nuda saa5 unipite hapa Buhongwa angalau nikupingie tu mkono watakupokea mabloo huko nyegezi/Nata/buzuruga!!Ahsante mkuu! Ntakuja na Dar Lux tu[emoji3]
Mkuu kuna gari inaitwa Chungwa? Aisee nimelipendaaAchana na Dar lux, Kamata Chungwa babe, Kamata Allys babe, hiyo inatunza nuda saa5 unipite hapa Buhongwa angalau nikupingie tu mkono watakupokea mabloo huko nyegezi/Nata/buzuruga!!
Hizi ndio chungwa, kula Chungwa babe ila ukifika hapo Magufuli Terminal ulizia Ndege ya Ardhini AKA Ally's star bus!!Mkuu kuna gari inaitwa Chungwa? Aisee nimelipendaa
Ooh kumbe ndiyo chungwa😀😀 haya mkuu ntafata huu ushauriHizi ndio chungwa, kula Chungwa babe ila ukifika hapo Magufuli Terminal ulizia Ndege ya Ardhini AKA Ally's star bus!!View attachment 1794318