Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

IMG_20210524_224731.jpg
 
Home sweet home,afu kuna mburula eti ndio wanataka kulinganisha na kile kijiji chao cha waungua meno,ahaaaaaaaaa nacheka kama mazuri!!!!
SIFA MOJA KUBWA YA USUKUMA NI USHAMBA....
YAANI HICHO KIJIJI KINAANZIA PALE MABATINI MPAKA PASIANSI NA KUISHIA PALE STAND YA IGOMBE NDIO ULINGANISHE NA R' CHUGA!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo Chuga muda tu kuna maeneo huku ni bora uishi Igogo milimani kuliko uishi Sinoni Daraja mbili au Ngalimi. Ovyo sana nyumba za tope na matete kiangazi vumbi masika tope ka la kwa Mpalange
Huko si pakuishi, ni sehemu ya kwenda kushangaa ngedere wa ngorongoro na kuangalia jamii ya wamasai wanavyoishi.
 
Back
Top Bottom