Bhasi tamu sana hiziHizi ndio chungwa, kula Chungwa babe ila ukifika hapo Magufuli Terminal ulizia Ndege ya Ardhini AKA Ally's star bus!!View attachment 1794318
Manhattan (Kenyatta road)
Home sweet home,afu kuna mburula eti ndio wanataka kulinganisha na kile kijiji chao cha waungua meno,ahaaaaaaaaa nacheka kama mazuri!!!!
SIFA MOJA KUBWA YA USUKUMA NI USHAMBA....Home sweet home,afu kuna mburula eti ndio wanataka kulinganisha na kile kijiji chao cha waungua meno,ahaaaaaaaaa nacheka kama mazuri!!!!
Kabishane na vichaa wenzako huko usituletee ulofa humu ndani.SIFA MOJA KUBWA YA USUKUMA NI USHAMBA....
YAANI HICHO KIJIJI KINAANZIA PALE MABATINI MPAKA PASIANSI NA KUISHIA PALE STAND YA IGOMBE NDIO ULINGANISHE NA R' CHUGA!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi nipo Chuga muda tu kuna maeneo huku ni bora uishi Igogo milimani kuliko uishi Sinoni Daraja mbili au Ngalimi. Ovyo sana nyumba za tope na matete kiangazi vumbi masika tope ka la kwa MpalangeKabishane na vichaa wenzako huko usituletee ulofa humu ndani.
Huko si pakuishi, ni sehemu ya kwenda kushangaa ngedere wa ngorongoro na kuangalia jamii ya wamasai wanavyoishi.Mimi nipo Chuga muda tu kuna maeneo huku ni bora uishi Igogo milimani kuliko uishi Sinoni Daraja mbili au Ngalimi. Ovyo sana nyumba za tope na matete kiangazi vumbi masika tope ka la kwa Mpalange
IMEKUPIGA HIYOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabishane na vichaa wenzako huko usituletee ulofa humu ndani.
Ndio tatizo la kuvuta marijuana wakati ugali wenyewe wa shikamoo kwa mume wa dada akoIMEKUPIGA HIYOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We endelea kutumia arv lakini ukizingatia lishe bora.IMEKUPIGA HIYOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app