Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Home sweet home
Rufiji ndo panakimbiza sa hv ikifuatiwa na rwagasore , rwagasore imechememea baada ya soko kufungwa ....!! Hvi huna Raman ya hotel ya Yule mwekezaji anayetaka kujenga hotel ziwaniMtaa wa rufiji umechangamka
View attachment 1971450
Ndio nasikia kwako mkuuRufiji ndo panakimbiza sa hv ikifuatiwa na rwagasore , rwagasore imechememea baada ya soko kufungwa ....!! Hvi huna Raman ya hotel ya Yule mwekezaji anayetaka kujenga hotel ziwani
Msemaji wa serikali msigwa kaigusia hukoNdio nasikia kwako mkuu
OK, ntafuatilia baadaeMsemaji wa serikali msigwa kaigusia huko
[emoji849]Hata rais wa awamu ya 6 atatoka jiji la wajanja mwanza
Ongeza sautiHata rais wa awamu ya 6 atatoka jiji la wajanja mwanza
Mawazo ya kimasikiniNaona mmejitahidi kutangaza Hotel za wanaume wenzenu bila gharama yoyote. Hayo mahotel yote hayamsaidii mtanzania wa mwanza anayewaza ada za watoto. Chakula. Kodi ya nyumba. Nk