Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

IMG_20211211_133230.jpg

IMG_20211211_133217.jpg

IMG_20211211_133154.jpg
IMG_20211211_133143.jpg

City college Wana Jambo Lao Mwanza .....

Huwez lingamisha mchina na janja janja ya waswahili , mchina hajawin international market Kwa kubahatisha hao jamaa kazi Yao inaeleweka , cha msingi bajeti yako Tu ieleweke
Lakini mohammed builders kajenga pia soko kuu la dodoma pamoja na stendi kuu ya dodoma.
 
Naomba kujua, hivi kwanini jengo la abiria limesimama muda mrefu sasa, whats goin on??
 
Nasikia wapo wanafanya uchunguzi liligubikwa na ufisadi wa kutisha, pia render walipaswa kujenga jengo la ghorofa lakini wakajenga kama ligodown.
Render iko vilevile hakuna utofauti labda ufisadi ndio sijui.
Kipindi cha Magu ilionekana hili jengo ni la muda wangekuja kujenga jengo kubwa kama terminal 2 ya dar, kinachoonekana utawala huu wa sasa wanataka kulifanya hili ndio liwe main mipango ya kujenga jengo lingine inatupiliwa mbali.
 
Ni kweli kiongozi lakini mimi kwa uchunguzi wangu nimekuja kugungua miradi mingi ya Mwanza huwa ina hujumiwa sana na pia haiwezi kukamilika kwa wakati yaani figisu zimekuwa nyingi sana, tena na figisu hizi zinaanzia serikali kuu, mfano stendi ya Ilemela ilianza kujengwa pamoja na stendi ya mbezi(stendi ya JPM) lakini cha ajabu stendi ya Dar imeanza kutumika mapema wakati stendi ya Ilemela haijulikani itamalizika lini, angalia miradi kama ya soko kuu Mwanza adi sasa wapo nyuma kwa asilimia 38%, stendi ya Nyegezi wapo nyuma kwa 22% na daraja la kigongo busisi wapo nyuma kwa zaidi ya asilimia 47%.

Viongozi wa halmshauri plus wabunge nao wamelala hawataki kuchangamka kabisa
 
Back
Top Bottom