Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Mwanzo wa video kuna onekana ujenzi mkubwa maeneo ya capripoint, ni nini hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo wa video kuna onekana ujenzi mkubwa maeneo ya capripoint, ni nini hicho?
Turushie tuone bro.Nilitaka nipost mapicha ya huu ujenzi wa hoteli kubwa sanaaa eneo la capripoint.
Ilemela DC yuko vizuri sana, ila NYAMAGANA ni bure kabisa.!Ilemela miaka mingi imekuwa na DC waliolala, ila kwa huyu wa sasa hivi kazi anapiga. Ana account instagram na facebook. Kazi zake nyingi huwa ana update kule Login • Instagram
Ila Nyamagana nao wameamua kufanya kweli kwasasa, kuna barabara nyingi sana za ndani ndani wameweka lami nyepesi, kama bulale, mkolani, maeneo ya mahina ya bismark, mwananchi, mhandu na mengi tu ni kama yamewekwa mkeka na barabara nyingine wanaweka za mawe, pia mwezi wa saba watatandaza lami ya 12km kutoka buhongwa, kishiri adi Igoma kwa lami ngumu lakini kishiri adi fumagila wataweka lami nyepesi, Naona Mabula wa kiume kwasasa anaupiga mwingi.Ilemela DC yuko vizuri sana, ila NYAMAGANA ni bure kabisa.!
Hii hotel itakuwa kubwa sana kwa hapa town haina mfano bro.Turushie tuone bro.
Account yake ya FB ni ipi nianze kumfollow.Ilemela miaka mingi imekuwa na DC waliolala, ila kwa huyu wa sasa hivi kazi anapiga. Ana account instagram na facebook. Kazi zake nyingi huwa ana update kule Login • Instagram
Ilemela municipal councilAccount yake ya FB ni ipi nianze kumfollow.
Usitusahau pichaHii hotel itakuwa kubwa sana kwa hapa town haina mfano bro.
Sawa hakuna noma natafuta location ya kupiga picha hili jengo la hii hotel ni kubwaaa mnoooo.Usitusahau picha
Jina la hotel unalifahamu?S
Sawa hakuna noma natafuta location ya kupiga picha hili jengo la hii hotel ni kubwaaa mnoooo.
Underconstruction ikiisha itapewa jina.Jina la hotel unalifahamu?
Account yake ya FB ni ipi nianze kumfollow.
www.instagram.com
Mkuu ukiweza tuletee picha ya bango huwa kina kila kituUnderconstruction ikiisha itapewa jina.