- Thread starter
- #2,201
I
Imepigwa taa lini hii bara bara?. Safi sana ni hatua moja nzuri mnoMakongoro road
View attachment 2169601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imepigwa taa lini hii bara bara?. Safi sana ni hatua moja nzuri mnoMakongoro road
View attachment 2169601
Nyegezi bado ujenzi unaendelea, Nyamhongolo tarehe 15/04 ufunguziSwala la stand kuu Mwanza updates zake vip
Poa poa mkuu nataka nikitoka job jmos niende huko capripoint nikafanye jambo letu la kuongeza photo kwenye gallery yetu😂😂😂Mkuu ukiweza tuletee picha ya bango huwa kina kila kitu
Wameanza wiki kama mbili hivi wanaanzia airport kuja town centerI
Imepigwa taa lini hii bara bara?. Safi sana ni hatua moja nzuri mno
Wamefika wapi sasa hivi?Wameanza wiki kama mbili hivi wanaanzia airport kuja town center
Ukivuka rockbeach garden, pande hiyo nayo kuna mjengo unanyanyuka ingawa si mkubwa, inaweza kuwa apartments au hoteli ndogoPoa poa mkuu nataka nikitoka job jmos niende huko capripoint nikafanye jambo letu la kuongeza photo kwenye gallery yetu😂😂😂
Hiyo ni apartment.Ukivuka rockbeach garden, pande hiyo nayo kuna mjengo unanyanyuka ingawa si mkubwa, inaweza kuwa apartments au hoteli ndogoView attachment 2170263
Nguzo za taa zimefika had pansiasiWamefika wapi sasa hivi?
Nilikuwaga nashangaa kwa nini hii barabara haina Street lightsNguzo za taa zimefika had pansiasi
mdogo mdogo nyakato itakuwa CBD nyingine ndani ya jiji, kuna project nyingi zinakuja ni suala la mda tuConference Hall - NyakatoView attachment 2173142
Hatari sana kakamdogo mdogo nyakato itakuwa CBD nyingine ndani ya jiji, kuna project nyingi zinakuja ni suala la mda tu
pale ilipokuwa stand ya mabasi buzuruga, manispaa ya Ilemela tayari imeshaandika andiko la kupajenga jengo la kitega uchumi ambalo litajulikana kwa jina la buzuruga comercila centre. kwenye bajeti ya 2022/2023 wameweka kama mradi wa kimkakati.Halafu the same road km away unakutana na stand kubwa ya Nyamhongolo, nitafurahi sana siku narudi Mwanza nashukia stand mpya ya Nyamhongolo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hapo stand ya Igombe, hilo jengo la Orange na blue huwa nasikia ni plot ya Bakhresa