Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Poa poa mkuu nataka nikitoka job jmos niende huko capripoint nikafanye jambo letu la kuongeza photo kwenye gallery yetu😂😂😂
Ukivuka rockbeach garden, pande hiyo nayo kuna mjengo unanyanyuka ingawa si mkubwa, inaweza kuwa apartments au hoteli ndogo
Screenshot_20220317-233808.png
 
Halafu the same road km away unakutana na stand kubwa ya Nyamhongolo, nitafurahi sana siku narudi Mwanza nashukia stand mpya ya Nyamhongolo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Halafu the same road km away unakutana na stand kubwa ya Nyamhongolo, nitafurahi sana siku narudi Mwanza nashukia stand mpya ya Nyamhongolo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
pale ilipokuwa stand ya mabasi buzuruga, manispaa ya Ilemela tayari imeshaandika andiko la kupajenga jengo la kitega uchumi ambalo litajulikana kwa jina la buzuruga comercila centre. kwenye bajeti ya 2022/2023 wameweka kama mradi wa kimkakati.
 
Back
Top Bottom