Mwanza City: The Photo Gallery

Jaman ifike aibu mwanza kukubali kuingia kujibu battle na Dodoma ,mara Mbeya ... haiwezekani watuchukulie poa hivyo ,uwezo tunao na nguvu tunazo
Nyegezi stendi project on going
 
Mimi nashauri yajengwe maghorofa kama magomeni then wahamishiwe, badala ya kuwapa fidia,
Wakipewa fidia wataenda kufanya ujenzi holela kwingine
Serikali ya samia ni mavii aiwezi kujua ilo .mm nasema wapewe fidia nusu na kujengewa magorofa
 
Jaman naskia eti ile habari ni ya uongo kuhusu wawekezaji
 
Jaman naskia eti ile habari ni ya uongo kuhusu wawekezaji
Mpaka sasa kuna sintofahamu, ina maana Chanzo, Nipashe, Jamii forum ni waongo?
Mimi naona uwasilishwaji haukuwa mzuri na hili seke seke la Ngorongoro likaongeza presssure kwa wakazi wa milimani, japo lengo la uwekezaji huu ni zuri sana.
 
Tatizo la wanasiasa ,,,ni kubadilika badilika ....yaan strategic plans zinaathiriwa na siasa
 
Daah kungekua na uwezekano wangetanua na iyo barabara ni nyembamba sanaaaaa italeta msongamano mkubwa ikikamilika kama awali tu
Kaka hujaona kwenye bajeti hii wanaifanyia upembuzi sanifu ili ijengwe njia nne Toka mza mpaka usagara 25km.

Mpango wa Magu ikuwa barabara kubwa zinazotoka na kuingia kwenye majiji zipigwe njia nne kwa 50km.

Wakijenga hata hizo 25 zitatosha ingawa nina wasiwasi kutokana na miradi mingi kusuasua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…