Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Bado kuna ile ya Nyagezi naona nayo inakuja kuwa balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kuna ile ya Nyagezi naona nayo inakuja kuwa balaa.
Ongezea na hiiBado kuna ile ya Nyagezi naona nayo inakuja kuwa balaa.
Serikali ya samia ni mavii aiwezi kujua ilo .mm nasema wapewe fidia nusu na kujengewa magorofaMimi nashauri yajengwe maghorofa kama magomeni then wahamishiwe, badala ya kuwapa fidia,
Wakipewa fidia wataenda kufanya ujenzi holela kwingine
Mpaka sasa kuna sintofahamu, ina maana Chanzo, Nipashe, Jamii forum ni waongo?Jaman naskia eti ile habari ni ya uongo kuhusu wawekezaji
Tatizo la wanasiasa ,,,ni kubadilika badilika ....yaan strategic plans zinaathiriwa na siasaMpaka sasa kuna sintofahamu, ina maana Chanzo, Nipashe, Jamii forum ni waongo?
Mimi naona uwasilishwaji haukuwa mzuri na hili seke seke la Ngorongoro likaongeza presssure kwa wakazi wa milimani, japo lengo la uwekezaji huu ni zuri sana.
Buzuruga mataa
Hiko chuo kinajengwa sehemu gani??
Daah kungekua na uwezekano wangetanua na iyo barabara ni nyembamba sanaaaaa italeta msongamano mkubwa ikikamilika kama awali tuNyegezi bus terminal in progressingView attachment 2260108
Kaka hujaona kwenye bajeti hii wanaifanyia upembuzi sanifu ili ijengwe njia nne Toka mza mpaka usagara 25km.Daah kungekua na uwezekano wangetanua na iyo barabara ni nyembamba sanaaaaa italeta msongamano mkubwa ikikamilika kama awali tu