Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimaliza hili Jengo watajenga jengo lingine kubwa la kuhudumia watu 2.5m kwa mwaka, yaani ukubwa wake ni sawa na terminal 2 ya Dar.
VIP una uwezo wa kupata render yake ,maana nasikia mchoro na usanifu tayariWakimaliza hili Jengo watajenga jengo lingine kubwa la kuhudumia watu 2.5m kwa mwaka, yaani ukubwa wake ni sawa na terminal 2 ya Dar.
Kaka hili jengo ni bora kuliko aibu iliopo, uwanja wa ndege mwanza umeanza kuongelewa Toka enzi za mkapa haukujengwa, Kikwete ndio kabisa, Magufuli aliziambia manispaa na jiji wajenge kwa pesa zao ambayo ni mipango ya muda mfupi.Ili jengo la abiria ni bora lingefanywa store tu hapo hamna kitu, archect aliyesanifu hili jengo nadhani hakuwa na exposure, jengo halina space ya kutosha, sehemu ya kutenganisha abiria wanaingia na wanaosafiri pia hakuna mtengano wa sehemu ya wageni pia na sehemu ya VIP, hili jengo ni ovyo sana nashauri lifanywe kuwa ghala la kuwekea mizigo au sehemu ya karakana, huyu msanifu ni mpumbavu sana nazani atakuwa ni the sunk fallacy cost huyu, hakika tumehujumiwa pakubwa.
Hatuwezi kuqualify kuwa international airport kwa hili pagale, hizo bilioni 13 walizozitupa kwenye hilo ghala la chakula ni bora barabara ya mkuyuni adi nyakato ingepigwa lami kwa hizo pesa.
Wametangaza tenda ya kufunga taaHuko kwingine wanamwachia nani
Upo sawa mkuu, je huu mradi ea TACTIC unaweza kuwa mkombozi wa barabara zetu kuu mbili ya kutoka igoma, kishiri adi buhongwa na barabara tajwa hapo ya mkuyuni to nyakato??, wasiwasi.wangu ni kuwa miradi ya mwanza huwa inapigwa sana vita tumshukuru hayati Magufuli kwa kutupambania kwa miradi mingi kutekelezwa kanda ya ziwa.Kaka hili jengo ni bora kuliko aibu iliopo, uwanja wa ndege mwanza umeanza kuongelewa Toka enzi za mkapa haukujengwa, Kikwete ndio kabisa, Magufuli aliziambia manispaa na jiji wajenge kwa pesa zao ambayo ni mipango ya muda mfupi.
Mipango ya muda mrefu ni kwamba litajengwa jengo kubwa hata bajeti imesema hivyo ila wanatafuta pesa michoro imekamilika. Ukumbuke mwanza huwa haipendwi sijui pesa zitapatikana lini?
Sasa kipi bora kuwa na hili linalojengwa sasa au tubaki na la zamani lilopo?
Jengo haijaisha huwezi sema halina VIP wala kutenganisha abiria, hilo ni suala dogo la partition.
Majengo makubwa hujengwa hivyo kisha anayetumia au kukodisha hufanya partitions kulingana na matumizi yake.
Barabara ya nyakato to mkuyuni si iko kwenye mradi wa TACTIC
🙏🙏🙏 hakika mambo aliyofanya magufuli ni mambo makubwa yatupaswa kumuombea mungu huko haliko apumzike kwa amani.Kuna tenda ya kuweka taa nimeona sehemu, haraka za Magufuli ni nzuri, tusisahau foleni iliyokuwepo, haraka za Magufuli ndio zimesaidia sgr kuja mza inajengwa, zimesaidia daraja la busisi kujengwa, ukishasikia pesa mradi unajengwa kwa ufadhili utekelezaji huwa unachukua muda sana, Leo hii Tungekuwa Tunasubiri fedha zipatikane ili barabara ya uwanja wa ndege ijengwe.
Barabara ya nyakato si ina njia 3, vipi asingefanya hivyo tukasubiri pesa zipatikane ijengwe njia nne, foleni ingekuwa balaa.
Tushukuru kwa kidogo kilichofanyika wazee.
Enzi za Jafo ilikuwa hivyo, tena ile igoma buhongwa ilikuwa inaongelewa njia nne, kwa ilemela ndio kulikuwa kuna miradi ya masoko kirumba na buswelu pamoja na barabara kadhaa za ilemela.Upo sawa mkuu, je huu mradi ea TACTIC unaweza kuwa mkombozi wa barabara zetu kuu mbili ya kutoka igoma, kishiri adi buhongwa na barabara tajwa hapo ya mkuyuni to nyakato??, wasiwasi.wangu ni kuwa miradi ya mwanza huwa inapigwa sana vita tumshukuru hayati Magufuli kwa kutupambania kwa miradi mingi kutekelezwa kanda ya ziwa.
Mimi nakuambia hakuna raisi au mtu angefikiria kujenga daraja la busisi, hii sgr ingepelekwa kigoma tukaambiwa huko ndio kuna mizigo ya kwenda Congo🙏🙏🙏 hakika mambo aliyofanya magufuli ni mambo makubwa yatupaswa kumuombea mungu huko haliko apumzike kwa amani.
Naomba kuuliza mkuyuni kwenda Nyakato ,,,inapitia wapi ..je kupitia kule nyakurunduma kutokea Mahina kati hadi Nyakato au ni kupitia kanyerere,nyangulugulu,kakebe, Nyakato machinjioni.?!Mimi nakuambia hakuna raisi au mtu angefikiria kujenga daraja la busisi, hii sgr ingepelekwa kigoma tukaambiwa huko ndio kuna mizigo ya kwenda Congo
Msije kusema mwanza haipendwi.. viongozi tulio nao na menejimenti zake wamelala .. however issue za masoko buswelu na kirumba bado ziko kwenye strategic plan ya manispaa ya ILEMELA..Enzi za Jafo ilikuwa hivyo, tena ile igoma buhongwa ilikuwa inaongelewa njia nne, kwa ilemela ndio kulikuwa kuna miradi ya masoko kirumba na buswelu pamoja na barabara kadhaa za ilemela.
Kwa sasa sijui si unajua mwanza haipendwi
Hamna mtu anayepiga miradi ya mwanza vita ..ila wabunge wetu ,na halmashauri wamelala ... kidogo mabula sa hv namwona anajitahidi maana amekuja na mpango wa kujenga atleast km 1 ya lami kwa mwaka kwa kila barabara ya tarura wilaya ya NyamaganaUpo sawa mkuu, je huu mradi ea TACTIC unaweza kuwa mkombozi wa barabara zetu kuu mbili ya kutoka igoma, kishiri adi buhongwa na barabara tajwa hapo ya mkuyuni to nyakato??, wasiwasi.wangu ni kuwa miradi ya mwanza huwa inapigwa sana vita tumshukuru hayati Magufuli kwa kutupambania kwa miradi mingi kutekelezwa kanda ya ziwa.
Ilikuwa ni aibu kwa kweli , Arusha mradi wao wa dual carriage ulikamilika pamoja na taa ,ila mradi wa mwanza..ulijengwa bila taa tena nakumbuka siku moja afisa wa Tanroad aliulizwa redioni akasema mradi ule haukuwa na mpango wa taa ,ila zimeongezwa taa za kutoka airport hadi hapo kanisani.kwa sababu Magufuli alisema..View attachment 2270951
Tenda ya taa hiyo
Sijui inapita wapi ila ninavyojua ni mkuyuni mpaka Nyakato national. Ila nafikiri itapita mahina, maana kuna mipango ya kuunganisha na buzuruga mataa kutokea mahinaNaomba kuuliza mkuyuni kwenda Nyakato ,,,inapitia wapi ..je kupitia kule nyakurunduma kutokea Mahina kati hadi Nyakato au ni kupitia kanyerere,nyangulugulu,kakebe, Nyakato machinjioni.?!
Mbona hii barabara hawataki kuweka taa za kumulika magari ,,,au wanasubiri upanuzi kwanza
Bas Kama ni national bas ..ni hii inayopitia Mahina reli,tambukareli, kanyerere, nyangulugulu hadi kiwanda cha nile perch NyakatoSijui inapita wapi ila ninavyojua ni mkuyuni mpaka Nyakato national. Ila nafikiri itapita mahina, maana kuna mipango ya kuunganisha na buzuruga mataa kutokea mahina