Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Miradi ya ESMF for tactic kama ifuatavyo
1.Mbeya imeongoza kupewa miradi 15
2.Dodoma imepata miradi 10
3.Arusha imepata miradi 7
4.Mwanza cc imepata miradi 3.🙏🙏
Si hapo ilemela municipal haipo
Ndo maana imekua kidogo
 
Mwenye updates na huu mradi please atuambie ulifikia wap
tapatalk_1656176311960.jpg
 
Kaka hili jengo ni bora kuliko aibu iliopo, uwanja wa ndege mwanza umeanza kuongelewa Toka enzi za mkapa haukujengwa, Kikwete ndio kabisa, Magufuli aliziambia manispaa na jiji wajenge kwa pesa zao ambayo ni mipango ya muda mfupi.
Mipango ya muda mrefu ni kwamba litajengwa jengo kubwa hata bajeti imesema hivyo ila wanatafuta pesa michoro imekamilika. Ukumbuke mwanza huwa haipendwi sijui pesa zitapatikana lini?
Sasa kipi bora kuwa na hili linalojengwa sasa au tubaki na la zamani lilopo?
Jengo haijaisha huwezi sema halina VIP wala kutenganisha abiria, hilo ni suala dogo la partition.
Majengo makubwa hujengwa hivyo kisha anayetumia au kukodisha hufanya partitions kulingana na matumizi yake.
Barabara ya nyakato to mkuyuni si iko kwenye mradi wa TACTIC
Huo mradi wa tactic umeanza au bado

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2271402
Nimeangalia miradi ya TACTIC mwanza, ilemela ipo 3.
1. Soko la kirumba na barabara za jumla ya 2.3km kuzunguka soko.

2. Barabara ya Buswelu-nyamadoke-Nyamhongolo km 9.5

3.Barabara ya Buswelu-Busenga-cocacola
Hivi hii barabara si ilishajengwa na inatumika? [emoji1787]

Miradi ya Nyamagana au Mwanza cc.
1. Barabara ya buhongwa-kishiri-igoma 14km naona itakuwa njia mbili naona sio fair ukizingatia hii barabara ni sehemu ya ring road ya mwanza.

2. Mradi wa mto mirongo
Nafikiri huu mto unaenda kujengewa kingo, sijui zaidi kuhusu hili

3. Mradi wa soko la samaki la mkuyuni.

Barabara ya national to mkuyuni naona haipo, labda tarura au tanroads waokoe jahazi
Naomba utume hio pdf

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Naona unachanganya na barabara ya VETA-Buswelu ambayo ndio imekamilika.
Hii ya Buswelu-Busenga-Cocacola bado hata kuanzwa
Nilimskia umy mwalimu kipindi ni waziri tamisemi aligusia kuanza kwa ujenzi wa barabara hii pamoja na ile ya Igoma
 
Nilimskia umy mwalimu kipindi ni waziri tamisemi aligusia kuanza kwa ujenzi wa barabara hii pamoja na ile ya Igoma
Ila nahisi hauko mbali sana kuanza Halmashauri wamepita kukagua itakapopita barabara na kuna watu wameambiwa wapishe ujenzi waliojenga kwenye hifadhi ya barabara
 
Ninachofurahi ni kuwa kutakuwa na mtandao mkubwa wa lami unaounganisha buswelu na maeneo mengine ya wilaya
 
Ninachofurahi ni kuwa kutakuwa na mtandao mkubwa wa lami unaounganisha buswelu na maeneo mengine ya wilaya
Yes Buswelu iko vizuri.
Nafikiri inahitajika buswelu nyakato kupitia kangaye.

Kuna ile inapita igombe kayenze mpaka Magu zaidi ya 40km iko kwenye rada za tanroads
 
Yes Buswelu iko vizuri.
Nafikiri inahitajika buswelu nyakato kupitia kangaye.

Kuna ile inapita igombe kayenze mpaka Magu zaidi ya 40km iko kwenye rada za tanroads
Nilisikia wanajenga mecco hadi kangaye kwa kiwango cha mawe ... yaani wanataka kuzingua kabisa ... barabara za mawe ziwe za mtaani na sio za wilaya .
 
Hii Google map imekupiga na kitu kizito ... barabara ya cocacola buswelu haina lami ...mim mwanza nimeondoka mwezi wa nne. Labda kama ndani ya miezi miwili wamekamilisha
Hujaielewa Google map, hiyo barabara nimeonyesha ni barabara ya Buswelu/ Kiseke keep left via Busenga to Cocacola/ Olasit filling stattion
 
Kuna project nyingi za kuinganisha Buswelu, ila katika zote naisubiria ya Mboga mboga - Nyamhongolo, 9km.
Yes Buswelu iko vizuri.
Nafikiri inahitajika buswelu nyakato kupitia kangaye.

Kuna ile inapita igombe kayenze mpaka Magu zaidi ya 40km iko kwenye rada za tanroadse
 
Hujaielewa Google map, hiyo barabara nimeonyesha ni barabara ya Buswelu/ Kiseke keep left via Busenga to Cocacola/ Olasit filling stattion
Hata hvyo hicho kipande cha kuja olasiti hakina rami
 
Kuna project nyingi za kuinganisha Buswelu, ila katika zote naisubiria ya Mboga mboga - Nyamhongolo, 9km.
Hii nafikiri bajeti ijayo itafanyiwa kazi, pia inachagizwa na uwepo wa stendi ya Nyamhongolo bila shaka itakuwa soon
 
Back
Top Bottom