View attachment 2271402
Nimeangalia miradi ya TACTIC mwanza, ilemela ipo 3.
1. Soko la kirumba na barabara za jumla ya 2.3km kuzunguka soko.
2. Barabara ya Buswelu-nyamadoke-Nyamhongolo km 9.5
3.Barabara ya Buswelu-Busenga-cocacola
Hivi hii barabara si ilishajengwa na inatumika? [emoji1787]
Miradi ya Nyamagana au Mwanza cc.
1. Barabara ya buhongwa-kishiri-igoma 14km naona itakuwa njia mbili naona sio fair ukizingatia hii barabara ni sehemu ya ring road ya mwanza.
2. Mradi wa mto mirongo
Nafikiri huu mto unaenda kujengewa kingo, sijui zaidi kuhusu hili
3. Mradi wa soko la samaki la mkuyuni.
Barabara ya national to mkuyuni naona haipo, labda tarura au tanroads waokoe jahazi