Nyamagana sijua wanafeli wapi ,au geographical feature inawaangusha milima milima...yaan sioni project za ujenzi wa barabara ukilinganisha na ilemela ,,,,,,hadi mkuu wa mkoa aliwasifu ilemela wako vizuri na hati yao ya CAG iko poa ...
Barabara ya kwenda kanyerere kutokea mkuyuni ina watu wengi sana na inaunganisha hadi Nyakato , Igoma.lakini kuna vumbi na magari ya kule yanajaza hadi kero kwa sababu ya uchache unaosababishwa na ubovu wa barabara .
Mahina ni eneo kubwa sasa mjini kuna watu wengi lakini pametengwa kama sio mwanza ,kule ni shida tupu kuanzia barabara,huduma za umeme na maji kidogo sa hv ..
Luchelele nako kumetengwa hadi watu wanasema ile ni kigamboni ya mwanza