Mwanza City: The Photo Gallery

Asante sana mleta mada. Thread umeitendea haki. Hivi kati ya Kingdom, Gold Crest na Ryan's Bay ipi inabamba zaidi? (nimeshawahi kufikia Kingdom na Gold Crest). Lakini Gold Crest kama inaelekea kuchoka kind of.
 
Asante sana mleta mada. Thread umeitendea haki. Hivi kati ya Kingdom, Gold Crest na Ryan's Bay ipi inabamba zaidi? (nimeshawahi kufikia Kingdom na Gold Crest). Lakini Gold Crest kama inaelekea kuchoka kind of.
gold crest ni classic zaidi. tatizo lake it is too expensive.
 
nasisitiza uwapo mwanza usikose kutembelea hili eneo. it opens a way to sanane national park. utasafiri kwa boat hadi kisiwa cha sanane ambako utajionea wanyama wa kila sampuli na species za miti kibao.
 
Nimemic sana rockcity, ngoja niweke ratiba vizuri.
 
Kuna demu tuliwahi dinyana kwa ASSIST hapo MIPA HOTEL, Daaah!! Miss you my Joy.
Duuh! Mkuu umenishtua.. Kuna Joy mmoja nilikuwa natoka nae anakaa maeneo ya Nyamanoro hukohuko Mwanza.. Isejekuwa the same person!
 
Mwanza kumbe ni pazuri hivyo, aisee mie niko huku kwetu Kibiti na watoto wetu ndio hao, ngoja nijichange change nije Mwanza.
 
Anaelinganisha Mwanza na Arusha hajui hata historia ya majiji haya mawili. Kwa ufupi Mwanza ilitangazwa kuwa jiji mwaka 2002, Arusha mwaka 2010. Mwanza inaundwa na manispaa mbili; mwanza jiji na manispaa ya Ilemela. Arusha halmashauri ya Arumeru inayounda jiji la Arusha bado haijawa na hadhi ya kuitwa manispaa. Baada ya Dar inafuta mwanza na hayo majiji mengine Arusha, Tanga, Mbeya yanafuata. Ahsante
 

hapa tunawaomba msilete habari za kulinganisha miji tafadhali tuheshimu lengo la mleta uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…