Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
nashauri mpost picha ambazo ni recent kwani maeneo mengi yamebadilika, kama ni zamani basi angalau 2yrs back, just an advice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolomije huwezi iona hapo mkuu, ipo wilaya ya Misungwi huko ndani ndani kidogoNitajitaid ndugu yangu elungata nifike kolomije ni wap kwa hapo nioneshe ghoropha la kishimba na gwajima na bashite na shigongo
Kalibu sana kibiti mkuu
Umetumia kigezo gani?mwanza ni pazuri kuishi kuliko arusha.
Umefika nchi gani ya ulaya?Hapo ni mwanza au ulaya
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mwanza noma hata dar ijipange iangalie inaweza kupitwa na mwanza
Kila sehemu ina upekee wake. UniquenessHivi wale wanaosema Arusha ni pazuri kuliko Mwanza bado wapo?
point taken bothernashauri mpost picha ambazo ni recent kwani maeneo mengi yamebadilika, kama ni zamani basi angalau 2yrs back, just an advice
hata nikikuambia huwezi kuelewa hadi ufike na kuishi pale ndio utaona utofauti.Umetumia kigezo gani?
Nyingi tu mfano jamaicaUmefika nchi gani ya ulaya?
Aha kumbe ni bei gan naul kufika huko kolomije ninampango wa kuiona kolomije hata kama ni ndan ndan kidogoKolomije huwezi iona hapo mkuu, ipo wilaya ya Misungwi huko ndani ndani kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
We jamaa boya sna unaongea five star.....mmh wakati ni nyng sna mwanzaHivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nyingi tu mfano jamaica
Goldcrest ina star ngap??kuna mtu kauliza kama kuna five stars hotel mwanza. hotel zilizopo kwasasa hakuna five star ila zilizopo ni nzuri tutaupload picha zake. The only five star hotel ni ile ya nssf ambayo bado ipo kwenye ujenzi.
safi sana hii kitu ni kongwe na wengi kutoka nje ya mwanza walikuwa wanapakimbilia sana
Mwanza ndo ya pili kuwa jiji baada ya dar asa wewe unaesema arusha ipo kwa kigezo Gani?Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.