Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

nashauri mpost picha ambazo ni recent kwani maeneo mengi yamebadilika, kama ni zamani basi angalau 2yrs back, just an advice
 
Nitajitaid ndugu yangu elungata nifike kolomije ni wap kwa hapo nioneshe ghoropha la kishimba na gwajima na bashite na shigongo

Kalibu sana kibiti mkuu
Kolomije huwezi iona hapo mkuu, ipo wilaya ya Misungwi huko ndani ndani kidogo
 
Kolomije huwezi iona hapo mkuu, ipo wilaya ya Misungwi huko ndani ndani kidogo
Aha kumbe ni bei gan naul kufika huko kolomije ninampango wa kuiona kolomije hata kama ni ndan ndan kidogo
 
Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunza beach and resort
17504260_603790606477966_4956066801305377439_o.jpg
19429675_1062489313888651_8341835019277066376_n.jpg
19399211_1062484930555756_1393005746680718515_n.jpg
19420778_1062484793889103_122056372367503640_n.jpg
19400165_1062484523889130_3781871956645551763_n.jpg
17457903_1002738093197107_9041266684735905374_n.jpg
 
Back
Top Bottom