Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

more info about mega mall nyie mnao_compare hii lazma iwaingie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


MIC
 
19693417_1548015381904783_33871111226949078_o.jpg

NCU building.
 
mwanza international conference center//// mie leo nadeal na proposed tu &under_construction and coming up projects mwaka mmoja mbele au miwili kuanza kutekelezwa
bafee1cd2d5284678115a9016e8bf7e1.jpg
b9f0070aaab44d969765068bd11b8272.jpg
7ffbd5c68f01084ec22a6a51a2ddf997.jpg
12d644ca0b097f88c1790daa28ef6398.jpg
dd900b256c94995886e813048ea98a96.jpg
 
karibu sana mkuu

Nitakuja tena, maana safari nilizokuja huko, mara mbili nilifikia Monarch Hotel, nadhani ipo Kirumba maana nilikuwa natembelea maeneo ya Uwanja wa Kirumba na Furahisha, mara nyingine nilipokuja nikafikia Tai Five, kama sikosei ipo pale wanapopaita kona ya Bwiru, na mara ya mwisho nilifikia Gold Crest Hotel, hapo city centre (nililala siku moja kisha tukaenda Nansio, Ukerewe)... Dah, nili-enjoy sana aisee...
 
Stendi ya nyegezi ilishajengwa hebu tuwekee picha

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom