Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwadanganye wasiojua Arusha mzee. Kutoka Kisongo hadi mjini km 20?! Kutoka Tengeru hadi mjini hakuna pori?!Nakupinga mkuu.arusha ni mji mkubwa tuu tena sana kuanzia tengeru hadi city center km15 na kote huko huoni pori au eneo la wazi.pia kutokea kisongo au duka bovu hadi mjini km 20 sasa utasemaje unaumaliza mji kwa masaa.kama huijui arusha bora unyamaze
Post sent using JamiiForums mobile app
Umu duniani, wewe kijana una roho ya kibinadamu waoondoe ili iweje?Mods, ingekuwa vizuri kama mngeu-pin huu uzi kama mlivyofanya kwa Dar es Salaam City in Photos ili sisi tulio mbali na Mwanza tuone yaliyoko huko...
huo sio mji ni jijiKwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
ni long tide kidogo mkuu ya hivi karibuni nitakuja nayo soonMkuu hii picha inanikumbusha enzi zetu Sisi wahenga stand ya Tanganyika nafikiri miaka 80s.