Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
thread ndio inahusu ivo ivo mkuuuMods, ingekuwa vizuri kama mngeu-pin huu uzi kama mlivyofanya kwa Dar es Salaam City in Photos ili sisi tulio mbali na Mwanza tuone yaliyoko huko...
Basi Moderators waache ubaguzi... Nime-enjoy sana kuiona Mwanza kwenye picha, japo nimeshafika mara kadhaa kikazi...thread ndio inahusu ivo ivo mkuuu
karibu sana mkuuBasi Moderators waache ubaguzi... Nime-enjoy sana kuiona Mwanza kwenye picha, japo nimeshafika maraka kadhaa kikazi...
karibu sana mkuu
Inajengwa eneo gani hii?...BOT executive hostel(under construction)
mwanza club_Capri point karibu Victoria hotelInajengwa eneo gani hii?...
mwanza club_Capri point karibu Victoria hotel
hapana mkuu hivyo ni vitu viwili tofautMkuu Nadhani ramani ilibadilishwa kilichopo sasa hivi ni hiki
Katibu na kwangu. Heheh. Mwanza MwanzaView attachment 542831
Nyakato Power Plant 60MW huzalishwa hapa.
kibokoView attachment 542671
NCU building.