Mwanza City: The Photo Gallery

Uwadanganye wasiojua Arusha mzee. Kutoka Kisongo hadi mjini km 20?! Kutoka Tengeru hadi mjini hakuna pori?!
Mkuu hujafika Arusha..kule wanakaribia kuunganisha Ar-Moshi. Mwanza kamji kanaanzia pale Buhongwa na kuelekea Musoma kanaishia pale nane nane

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hujafika Arusha..kule wanakaribia kuunganisha Ar-Moshi. Mwanza kamji kanaanzia pale Buhongwa na kuelekea Musoma kanaishia pale nane nane

Post sent using JamiiForums mobile app
Acha kuzingua. Angalia avatar yako usije kuwa hujui unachoongea.

Eti wanakaribia kuunga Moshi! Kutoka Tengeru hadi Makumira hapo Kati ni pori Na mashamba, kutoka hapo hadi USA Kati hapo pori la maana, maji ya chai hadi kikatiti ni mashambani tu. Acha kuzingua bana. Ukiwa mianzini hapo mjini kabisa kupanda juu huko ni tope tupu, kwa morombo ndo kabisa, Sakina napo ni high way tu inawaweka mjini, huko ngara mtoni kadhalika! Ukiacha city center, eneo pekee la kujivunia Arusha ni njiro, Majengo labda Na kijenge.

Sasa endelea kudhani hatupajui
 
Ukikusanya hotel za Lash peke yake pale Arusha hizo zote za Mwanza hazizifikii kwa ubora.
Note. Nimekua na kuishi Arusha, Mwanza nimefanya kazi miaka 5.

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Lush ni Hotel nani kakwambia? Lush ina ubora gani? Ushaingia ndani na kulala au unaona kwa nje? Kweli wewe ni mhenga aisee. Lush is not a hotel kwa vigezo vyovyote. Hapo Cheusi kajenga tu ki guest house akaweka furniture zake zilizokosa wateja supermarket basi. It is not a Hotel usidanganye watu.

Havome
 
Hapa wana arusha watamani kujinyonga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
wakuu hakuna MWANZA vs ARUSHA hapa kueni waugwana

NOTE;
ukitaka kujua ukubwa wa mji au jiji vizuri angalia vitu viwili navyo ni;
human population
GDP per year
=GDP ikiwa juu basi wawekezaji ni wengi miundombinu itaboreshwa nk. +human population itakua juu maana watu wanafuata huduma sio hotels wala hifadhi za taifa


mie napita tu[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…