ππππ yes pale mataa ya nera(junction) ila patapendeza sanaAaha .anajiita njigo boy [emoji28][emoji28] ...Ile aliyopost inafanana na project ya shell
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii miradi ya kwenye MakaratasiILEMELA YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAFIRI
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Eng. Modest Apolinary na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi Celine Robert wamesaini mkataba wa makubaliano wa uanzishaji wa mradi wa uboreshaji wa mifumo ya usafiri mijini.
Mradi huu ambao unatarajiwa kuanza mara baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu mwishoni mwa Mwaka 2023 unatarajiwa kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza
Mradi huu utafadhiliwa na shirika la maendeleo Ufaransa(AFD) ambayo ni sehemu ya miradi inayotekelezwa katika programu ya "GREEN AND SMART CITY SASA"
Akishuhudia utiaji wa saini,ndugu John Cheyo Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambae alimwakilisha Katibu Mkuu amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa mtaalam mshauri wa mradi huu.
"Niwatake wakurugenzi kuhakikisha mnatoa ushirikiano wa kutosha pamoja na kuhakikisha mradi utakapokuwa unaanza rasmi mnachagua wataalam sahihi ili mradi ukamilike kwa usahihi na kwa wakati uliokusudiwa"amesema John Cheyo.
Bi Celine Robert ambae ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ameshukuru kwa hatua iliyofikiwa na kusema kuwa lengo hasa la mradi huu ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza matumizi ya hewa ukaa kwa kuboresha usafiri mjini.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Msemaji Mkuu wa Serikali Ikulu Mawasiliano Mkoa Mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari fedha ishaandaliwa ...na umoja wa ulaya ..sa hv ni hatua za utekelezaji... mwakani wanafanya feasibility study na 2024 ujenzi unaanzaHii miradi ya kwenye Makaratasi
Mwonekano wa soko hakuna anayejua, kwasababu at ile ramani ya mwanzo walibadilisha baadhi ya design, ila najua ilo soko litakuwa kuwa na zuri kuliko masoko yote hapa nchini, na size yake ya gross floor area ya 28000m2 sio mchezo.Kusema ukweli bado mi sijajua mwonekano wa soko itakuwaje ..mwenye render yake atume pliz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wasitengeneze vitega uchumi ili viboost mapato ya halmashauri.Kigezo labda kiwe mapato tu lakin vingine vyote magu imeshakidhi
Hii barabara kwa sasa imependeza sana na inavutia sana, kwa jinsi lami ilivyo nyeusi, utazani barabara imepigwa kiwi.Nilipita apo Ijumaa usiku walikua ndio wameanza upande wa kushoto ukiwa unatoka barabara kuu iko poa sana...
Mbona kipindi cha magufili walikuwa hawana hizi excuses zaoπππMgawo wa maji ...
Mwauwasa wanasema tatizo ni chanzo cha maji kilichopo kinatoa Lita milioni 60 tu .wakati jiji sasa hv Linahitaji Lita 160 milioni Kwa siku ...
View attachment 2411579View attachment 2411580View attachment 2411581
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana mpango wa kuweka taa?Hii barabara kwa sasa imependeza sana na inavutia sana, kwa jinsi lami ilivyo nyeusi, utazani barabara imepigwa kiwi.
Ilibidi nifatilie asee nikapata connection ya ghorofa linalojengwa downtown pale lumumba na hilo linalotaka kujengwa hapo nera, nilipodadisi nikaambiwa litapanda floor 12+ ila hawa matajiri huwa wanazingua wanaweza kuishia ata 10 floor tu ila patakuwa mzuka sana.Ni mimi ulinitania si upo pale maeneo ya mataa ya nera
ILEMELA YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAFIRI
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Eng. Modest Apolinary na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi Celine Robert wamesaini mkataba wa makubaliano wa uanzishaji wa mradi wa uboreshaji wa mifumo ya usafiri mijini.
Mradi huu ambao unatarajiwa kuanza mara baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu mwishoni mwa Mwaka 2023 unatarajiwa kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza
Mradi huu utafadhiliwa na shirika la maendeleo Ufaransa(AFD) ambayo ni sehemu ya miradi inayotekelezwa katika programu ya "GREEN AND SMART CITY SASA"
Akishuhudia utiaji wa saini,ndugu John Cheyo Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambae alimwakilisha Katibu Mkuu amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa mtaalam mshauri wa mradi huu.
"Niwatake wakurugenzi kuhakikisha mnatoa ushirikiano wa kutosha pamoja na kuhakikisha mradi utakapokuwa unaanza rasmi mnachagua wataalam sahihi ili mradi ukamilike kwa usahihi na kwa wakati uliokusudiwa"amesema John Cheyo.
Bi Celine Robert ambae ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ameshukuru kwa hatua iliyofikiwa na kusema kuwa lengo hasa la mradi huu ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza matumizi ya hewa ukaa kwa kuboresha usafiri mjini.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Msemaji Mkuu wa Serikali Ikulu Mawasiliano Mkoa Mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mimi siamn adi nione mkataba aseeHii miradi ya kwenye Makaratasi
Taa zimeishia hapo buzuruga shule ila kwa uzuri wa hii barabara kwasasa hakina wataweka taa tena zile zenye kuwaka kama tochi za majambaziππππ
Huu mradi uko chini ya fedha zilizotolewa na EU Kwa miji ya Tanga ,mwanza na pemba ..ujulikanao kama green and smart city SASA ....Hawa wafaransa wamefinance huu mradi wa usafiri (green infrastructure) chini ya hyo programHii kitu siamini kama inaweza kutokea kwasasa, mkuu tunaomba utuhakikishie sisi wananzengo kuwa huu mradi utafanyika.
Hakika jemedari sasa kama huu mpango ukiwin hakika hili jiji litavutia zaidi na zaidi.Huu mradi uko chini ya fedha zilizotolewa na EU Kwa miji ya Tanga ,mwanza na pemba ..ujulikanao kama green and smart city SASA ....Hawa wafaransa wamefinance huu mradi wa usafiri (green infrastructure) chini ya hyo program
Sent using Jamii Forums mobile app
Washasaini bado feasibility study tuHakika jemedari sasa kama huu mpango ukiwin hakika hili jiji litavutia zaidi na zaidi.
Kwahiyo huo mpngo utasainiwa lini?
Mkuu unadhani mradi huu utahusisha barabara pamoja na mabus au kimoja wapo?
Kwa upeo wako wa ufahamu unadhani route gani zitapata chaguo la kwanza za huu mradi japo siamini aminiπππ
Yale hayana muda trust me, ndio muonekano wa soko kwa ujumla
Sasa hivi vibanda vitaondolewa lini ili jiji lipate taswira mpya na ya kupendeza kwa soko kuzungukwa na barabara maridadi pamoja na hii recreational area itakayopatika baada ya haya maduka ya kipindi cha mkoloni kuondolewa hapo.