Safi sana ila kama nilivokwambia jitahidi sana ukipita maeneo ya site piga picha kibao cha ujenzi!Mtaa wa lumumba ila wadai wanasema litaishia gorofa tisa au nane tu, lakini huyu mkandarasi anajenga pia na pale nera kuna site watajenga gorofa 12.
Najua sana mkuu!Sawa tajitaidi nikiwa napita napiga picha ila huwa kuna soo fulani hivi, upigaji wa picha ni kipaji😂😂😂😂
Tutaenderea kutoa update, lakini stendi ya nyegezi wanasubiri ukamilishaji wa barabara za kuingia na kutoka ili wakabidhi stendi ikiwa kamili, pia pale nyegezi kuna ujenzi wa shopping centre kubwa sana karibu na kamanga medicsTunashukuru sana kwa updates zenu!
Ngosha mbona umekua mkali sana?We kiazi kweli, mleta mada kasema msilinganishe mji huu na miji mingine we ushaanza ligi ya mwanza na wavuta bangi wa Arusha.
Naliamsha dude
Itabidi tupambane hivyo hivyo picha zangu ni mbovu coz napiga huku natembea kama vile najiself😂😂😂Najua sana mkuu!
Hiyo hotel itakuwa babukubwa ni hatari tupu!Kwenye hii vlog nimeona jengo la hile hotel ya nyota tano ya capripoint, hii hotel ikiisha ikapigwa vioo na udambwi udambwi kwa mbele itatisha.
Safi sana ila kama nilivokwambia jitahidi sana ukipita maeneo ya site piga picha kibao cha ujenzi!
Vipi kuhusu pale ghana lile jengo la Royal hospital liko hali gani mkuu?
Usiogope kikubwa tuone kinachoendela mkuu! Ila nikija mwanza nitakutafuta mkuu!Itabidi tupambane hivyo hivyo picha zangu ni mbovu coz napiga huku natembea kama vile najiself😂😂😂
Hiyo mpinzane wake atakuwa ni malaika beach pamoja na hotel ya nssf kama ikikamilika, lakini yote kwa yote Mwanza ni kisima cha burudani na maeneo mengi ya kula bata napenda kuifananisha na las vegas.Hiyo hotel itakuwa babukubwa ni hatari tupu!
Tutaenderea kutoa update, lakini stendi ya nyegezi wanasubiri ukamilishaji wa barabara za kuingia na kutoka ili wakabidhi stendi ikiwa kamili, pia pale nyegezi kuna ujenzi wa shopping centre kubwa sana karibu na kamanga medics
Tutaenderea kutoa update, lakini stendi ya nyegezi wanasubiri ukamilishaji wa barabara za kuingia na kutoka ili wakabidhi stendi ikiwa kamili, pia pale nyegezi kuna ujenzi wa shopping centre kubwa sana karibu na kamanga medics
Aha safi sana! Bila shaka ukipita mitaa hiyo utatupa updates boss!Jamaa wameshamaliza wameishia gorofa nane na underground, sasa wapo kwenye finishing tu na urembo wa juu wa jengo.
Usiogope kikubwa tuone kinachoendela mkuu! Ila nikija mwanza nitakutafuta mkuu!
Nipo nakusanya picha na majenzi yanayoendelea ya majumba ya gorofa nikifikisha angalau majengo mia moja makubwa nitayapost yote humu ndani🤣🤣🤣🤣Aha safi sana! Bila Dhaka ukipita mitaa hiyo utatupa updates boss!
Ndo maana kwenye sensa mwanza ndo ina nyumba nyingi zinazoendelea na ujenzi kuzidi hata Dar!Pamoja sana, ujenzi wa majumba ya gorofa sasa imekuwa ni kila mtaa mpaka kangaye karibu kila kona mtu anajenga mpaka naogopa, hakika watu wanalamba asali.
Mimi natafuta magorofa kuanzia floor nane nakuendelea sitaki vijumba vya floor moja au mbili za kuishi watu hivyo ni kila mahali vipo na utapost mangapi mkuu.Hata gorofa nane ni mapinduz makubwa sana
👍👍👍 itapendeza sana mkuu! Ila usichelewe sana kupost hata ukifikia hamsini tupia tu boss wangu Kitombile!🤣🤣🤣Nipo nakusanya picha na majenzi yanayoendelea ya majumba ya gorofa nikifikisha angalau majengo mia moja makubwa nitayapost yote humu ndani🤣🤣🤣🤣
Ngoja niendelee kupiga picha majengo ya gorofa yenye floor tano na kuendelea ambayo majenzi yake yanaendelea.Ndo maana kwenye sensa mwanza ndo ina nyumba nyingi zinazoendelea na ujenzi kuzidi hata Dar!
Hili soko bado sijalielewa aisee ... structure yake Iko complex sana kuielewaMwonekano wa soko kuu kwa sasa japo kwa ndani limekamilika kwa kuweka talazo kwa chini kazi kubwa ni kuweka roof ambayo inaendelea adi kufika mwezi wa pili taswira ya soko itakuwa imeonekana, lakini ili soko ni kubwa balaa
View attachment 2415346