Safi sana ila kama nilivokwambia jitahidi sana ukipita maeneo ya site piga picha kibao cha ujenzi!Mtaa wa lumumba ila wadai wanasema litaishia gorofa tisa au nane tu, lakini huyu mkandarasi anajenga pia na pale nera kuna site watajenga gorofa 12.
Vipi kuhusu pale ghana lile jengo la Royal hospital liko hali gani mkuu?