Hakika mkuu, tatizo ubize wa kusaka note nami nilambe asali kama wenzangu.πππ itapendeza sana mkuu! Ila usichelewe sana kupost hata ukifikia hamsini tupia tu boss wangu Kitombile!π€£π€£π€£
Hapo karibu na sheli ya GBP ni extension ya hospital ya kamanga... imekuwa Tena shopping center..mi najua kamanga wanajenga jengo lingine jirani na NHIF wing YaoKaribu na sheli ya GBP nn mkuu
Hilo soko sio complex tu pia unaweza kupoteamo ukazani ndani ya soko kuna mji mwingine waache walijenge coz ukubwa wa hilo soko ni sawa na stendi nne za nyegezi.Hili soko bado sijalielewa aisee ... structure yake Iko complex sana kuielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza haijawahi kuchukiwa na mtu kasoro wachache ndugu zetu wa mlima mrefu! Ila Mungu ni mwema wanakanda ya ziwa hawanaga mtima nyongo yeyote anakaribishwa!Hakika mkuu, tatizo ubize wa kusaka note nami nilambe asali kama wenzangu.
MWANZA SIHAMI.
Acha hilo jengo lao wanalojenga sasa ka gorofa saba, lakini karibu na maeneo hayo kuna mkulungwa kaona fursa amewekeza shopping centre kwenye bango la ukandarasi ameandika commercial building.Hapo karibu na sheli ya GBP ni extension ya hospital ya kamanga... imekuwa Tena shopping center..mi najua kamanga wanajenga jengo lingine jirani na NHIF wing Yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukubwa wa lile soko ni kama vile square mita ya rock city mallHilo soko sio complex tu pia unaweza kupoteamo ukazani ndani ya soko kuna mji mwingine waache walijenge coz ukubwa wa hilo soko ni sawa na stendi nne za nyegezi.
Ukubwa wa lile soko ni kama vile square mita ya rock city mallHilo soko sio complex tu pia unaweza kupoteamo ukazani ndani ya soko kuna mji mwingine waache walijenge coz ukubwa wa hilo soko ni sawa na stendi nne za nyegezi.
[emoji16][emoji16]...wamechukua eneo kubwa Tanganyika sana ...mwaka 2006 niliwahi pandia hapo bus wakati naelekea kwetu kwimba.... kulikuwa hamna buzuruga Wala nyegeziHilo soko sio complex tu pia unaweza kupoteamo ukazani ndani ya soko kuna mji mwingine waache walijenge coz ukubwa wa hilo soko ni sawa na stendi nne za nyegezi.
Hili jiji adi nafikia napata woga wakuomba kazi serikalini niwaache wakina sambulugu wakifaidi hili jiji la sangara na sato peke yao.Mwanza haijawahi kuchukiwa na mtu kasoro wachache ndugu zetu wa mlima mrefu! Ila Mungu ni mwema wanakanda ya ziwa hawanaga mtima nyongo yeyote anakaribishwa!
OK! Mwekezaji wake ni nani?Acha hilo jengo lao wanalojenga sasa ka gorofa saba, lakini karibu na maeneo hayo kuna mkulungwa kaona fursa amewekeza shopping centre kwenye bango la ukandarasi ameandika commercial building.
Aisee ,wamefika floor ya Saba .mi niliwaacha wapo ground floor...af mi mzembe kweli kahama mwanza nakaaje miezi nane sijatokea pande hizo ..nitaibia weekend Moja hvAcha hilo jengo lao wanalojenga sasa ka gorofa saba, lakini karibu na maeneo hayo kuna mkulungwa kaona fursa amewekeza shopping centre kwenye bango la ukandarasi ameandika commercial building.
Yeah zimekaribiana sana m2 32000 za rock city kwa mita square 28000 za soko kuu na nyegezi stendi 9800 m2Uk
Ukubwa wa lile soko ni kama vile square mita ya rock city mall
Hahah kaka mi napiga mishe mbali kidogo na mwanza ila maeneo yangu ya kujidai ni password hapo karibu na nyegezi! So January nitakuwa mjini hapo shekhe!Hili jiji adi nafikia napata woga wakuomba kazi serikalini niwaache wakina sambulugu wakifaidi hili jiji la sangara na sato peke yao.
Karibu mwanza kazi ya kujenga waachie wana mwanza sisi watuletee barabara tu za lami.Aisee ,wamefika floor ya Saba .mi niliwaacha wapo ground floor...af mi mzembe kweli kahama mwanza nakaaje miezi nane sijatokea pande hizo ..nitaibia weekend Moja hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sheikhHahah kaka mi napiga mishe mbali kidogo na mwanza ila maeneo yangu ya kujidai ni password hapo karibu na nyegezi! So January nitakuwa mjini hapo shekhe!
Hakika wewe ni legend katika kufuatilia maendeleo ya jiji la mwanza! Hongera sana mkuu KITOMBILE!Yeah zimekaribiana sana m2 32000 za rock city kwa mita square 28000 na nyegezi stendi 9800 m2
[emoji16][emoji16][emoji16]...maisha yanaforce watu kuwa displaced sehemu nyingine....mi sijuwahi tegemea ntakaa kahama..ila nashukuru kidogo culture ya huku inanifanya nijisikie Niko homeHili jiji adi nafikia napata woga wakuomba kazi serikalini niwaache wakina sambulugu wakifaidi hili jiji la sangara na sato peke yao.
Naomba kaka .. visit buswelu,,,,natamani nipate maendeleo ya jengo la mahakama na manispaa..lile jengo la mahakama linavutia sana mi niliacha linajengwaKaribu mwanza kazi ya kujenga waachie wana mwanza sisi watuletee barabara tu za lami.
Yaani bro kwa hali ya kanda ya ziwa ukiwekeza kahama-geita -shinyanga ni karibu sawa tu na uko mwanza City maana miundo mbinu iliyopo kwa sasa na inayoendelea kujengwa inakupa access ya kuingia town mapema sana iwezekanavyo mkuu![emoji16][emoji16][emoji16]...maisha yanaforce watu kuwa displaced sehemu nyingine....mi sijuwahi tegemea ntakaa kahama..ila nashukuru kidogo culture ya huku inanifanya nijisikie Niko home
Sent using Jamii Forums mobile app