Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

👍👍👍 itapendeza sana mkuu! Ila usichelewe sana kupost hata ukifikia hamsini tupia tu boss wangu Kitombile!🤣🤣🤣
Hakika mkuu, tatizo ubize wa kusaka note nami nilambe asali kama wenzangu.
MWANZA SIHAMI.
 
Hapo karibu na sheli ya GBP ni extension ya hospital ya kamanga... imekuwa Tena shopping center..mi najua kamanga wanajenga jengo lingine jirani na NHIF wing Yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hilo jengo lao wanalojenga sasa ka gorofa saba, lakini karibu na maeneo hayo kuna mkulungwa kaona fursa amewekeza shopping centre kwenye bango la ukandarasi ameandika commercial building.
 
Hilo soko sio complex tu pia unaweza kupoteamo ukazani ndani ya soko kuna mji mwingine waache walijenge coz ukubwa wa hilo soko ni sawa na stendi nne za nyegezi.
[emoji16][emoji16]...wamechukua eneo kubwa Tanganyika sana ...mwaka 2006 niliwahi pandia hapo bus wakati naelekea kwetu kwimba.... kulikuwa hamna buzuruga Wala nyegezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza haijawahi kuchukiwa na mtu kasoro wachache ndugu zetu wa mlima mrefu! Ila Mungu ni mwema wanakanda ya ziwa hawanaga mtima nyongo yeyote anakaribishwa!
Hili jiji adi nafikia napata woga wakuomba kazi serikalini niwaache wakina sambulugu wakifaidi hili jiji la sangara na sato peke yao.
 
Acha hilo jengo lao wanalojenga sasa ka gorofa saba, lakini karibu na maeneo hayo kuna mkulungwa kaona fursa amewekeza shopping centre kwenye bango la ukandarasi ameandika commercial building.
OK! Mwekezaji wake ni nani?
 
Acha hilo jengo lao wanalojenga sasa ka gorofa saba, lakini karibu na maeneo hayo kuna mkulungwa kaona fursa amewekeza shopping centre kwenye bango la ukandarasi ameandika commercial building.
Aisee ,wamefika floor ya Saba .mi niliwaacha wapo ground floor...af mi mzembe kweli kahama mwanza nakaaje miezi nane sijatokea pande hizo ..nitaibia weekend Moja hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jiji adi nafikia napata woga wakuomba kazi serikalini niwaache wakina sambulugu wakifaidi hili jiji la sangara na sato peke yao.
Hahah kaka mi napiga mishe mbali kidogo na mwanza ila maeneo yangu ya kujidai ni password hapo karibu na nyegezi! So January nitakuwa mjini hapo shekhe!
 
Hili jiji adi nafikia napata woga wakuomba kazi serikalini niwaache wakina sambulugu wakifaidi hili jiji la sangara na sato peke yao.
[emoji16][emoji16][emoji16]...maisha yanaforce watu kuwa displaced sehemu nyingine....mi sijuwahi tegemea ntakaa kahama..ila nashukuru kidogo culture ya huku inanifanya nijisikie Niko home

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]...maisha yanaforce watu kuwa displaced sehemu nyingine....mi sijuwahi tegemea ntakaa kahama..ila nashukuru kidogo culture ya huku inanifanya nijisikie Niko home

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani bro kwa hali ya kanda ya ziwa ukiwekeza kahama-geita -shinyanga ni karibu sawa tu na uko mwanza City maana miundo mbinu iliyopo kwa sasa na inayoendelea kujengwa inakupa access ya kuingia town mapema sana iwezekanavyo mkuu!
 
Back
Top Bottom