Hata ukicheki gorofa nyingi hapo town ni za wasukuma na wakurya mzee! Ila wako kimya tu! Watu wa Kagera hawana nguvu kubwa sana Mwanza hata ukienda nyamhongolo mabasi ya kwenda bukoba kama Sabuni Fikosi kisire ni kurya na sukuma ndo inamiliki!Kweli kabisa ...rich's wengi wa kisukuma sio wa matangazo sana ...
Naomba kuuliza watu wa Kagera ,wana investment Gani kubwa mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app