Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Tatizo la Kitana ni tajiri wa kizamani hana investment za maana hata jengo lake pale kirumba finishing bado! Lakini wenzake akina Chegeni ,gachuma ,kishimba wako vizuri!
Magufuri alitak abomoe ilo jengo ambalo alilijenga ndani ya ziwa kwa kutengeneza ardhi ya bandia kwenye ziwa.
 
Kishimba yule sio wa kawaida...ana hostel za wanafunzi dodoma .ni zaidi ya Kijiji .enzi nasoma chuo alikuwa anatupiga 80 elfu chumba ..na hapo umelipia bed tu sio chumba ...
Jamaa Lina investment sana .nasikia hata rock beach ni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mali yake at jengo la kitco.
 
Ngoja ajiimalishe alikuwa ameanza kufilisiwa nyie acheni, jengo la mabilioni ya pesa livunjwe, account bank zifungiwe unazani mchezo, pili hilo jengo limejengwa kwa zege tu mwanzo mwisho.
Yule mzee nikwambie ni kamanda kweli kweli wa kikurya sura ya mbuzi!
 
Yule mzee nikwambie ni kamanda kweli kweli wa kikurya sura ya mbuzi!
Namwita kmanda au mfalme wa ziwa victoria ndio jinsi mwanaume anavyotakiwa kuwa, magufuli hakumpenda kwa sababu jamaa alipata pesa kinguvu na kiharamia ndani ya ziwa ngoja niishie hapa lakini huyu mzee ni sura ya mbuzi ukiwa kwenye anga zake.
 
Yule mmiliki wa kamanga alitakaga ajenge ile Lami ya kamanga upande wa 2 had sengerema serikali wakamfanyia figisu
 
Huyo ndio meb mwenyewe na ndio mwenye MS company ndio mwenye viwanda nyamhongolo n sasa anahamisha kiwanda chake nyanguge, nilishaleta story yake humu huyo ni mtu na robo tatu😂😂😂
Kuna mhindi mmoja anamiliki mjengo pale Pepsi (Texas tower ) anaitwa Patel . nasikia ndo Tajiri 1 mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio meb mwenyewe na ndio mwenye MS company ndio mwenye viwanda nyamhongolo n sasa anahamisha kiwanda chake nyanguge, nilishaleta story yake humu huyo ni mtu na robo tatu😂😂😂
ila kile kiwanda cha nyanguge ni komesha af kuna watu wa mbeya wanatuleteaga viwanda vya mahindi 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom