Mwanza City: The Photo Gallery

Kweli kabisa ...rich's wengi wa kisukuma sio wa matangazo sana ...
Naomba kuuliza watu wa Kagera ,wana investment Gani kubwa mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukicheki gorofa nyingi hapo town ni za wasukuma na wakurya mzee! Ila wako kimya tu! Watu wa Kagera hawana nguvu kubwa sana Mwanza hata ukienda nyamhongolo mabasi ya kwenda bukoba kama Sabuni Fikosi kisire ni kurya na sukuma ndo inamiliki!
 
Wakurya ni noma ..anzia mwanza hotel ,nyanza bottling,mkombozi feries ,mijengo mingi pale mwananchi ni ya wale majamaa ...
Hata said yule aliyepiga mtu risasi Saba . alikuwa na pesa chafu [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakurya, wasukuma na wahindi ndio wawekezaji kwwnye hili jiji wengine wamekalia ujuaji wa maneno mengi tu na sifa za kipuuzi.
 
Japo nyanza bottling company ni ya mzungu lakini gachuma naye ana hisa kubwa tu hapo.
 
Wakurya ni noma ..anzia mwanza hotel ,nyanza bottling,mkombozi feries ,mijengo mingi pale mwananchi ni ya wale majamaa ...
Hata said yule aliyepiga mtu risasi Saba . alikuwa na pesa chafu [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huyu kitana huyu mkurya ni mtu na nusu japo magufuri alitaka kumfirisi lakini ili jamaa lina pesa kama lilizaliwa nazo.
 
Wakurya, wasukuma na wahindi ndio wawekezaji kwwnye hili jiji wengine wamekalia ujuaji wa maneno mengi tu na sifa za kipuuzi.
Hahaha kama wanani mzee? Maana wazee wa miguu ya spoku walikuwa wanasema wao ndo kwenye hela hapa mjini!
 
Hahaha kama wanani mzee? Maana wazee wa miguu ya spoku walikuwa wanasema wao ndo kwenye hela hapa mjini!
Hao hawana diversity kama wasukuma hao wanazani maisha yapo mjini tu, wasukuma wanasaka noti mijini, vijijini, mbugani na maporini hapo utajua yupi ni hustler zaidi ya mwenzake.
 
mwanza ni ya 3 kuwa na shule nyingi Tz,mwanza ni ya 2 kuwa na hospitali,vituo vya afya na zahanati had kufikia 2027 mwanza ndo utakuwa mkoa wenye shule nyingi na hospitali nyingi
 
Tatizo la Kitana ni tajiri wa kizamani hana investment za maana hata jengo lake pale kirumba finishing bado! Lakini wenzake akina Chegeni ,gachuma ,kishimba wako vizuri!
Kishimba yule sio wa kawaida...ana hostel za wanafunzi dodoma .ni zaidi ya Kijiji .enzi nasoma chuo alikuwa anatupiga 80 elfu chumba ..na hapo umelipia bed tu sio chumba ...
Jamaa Lina investment sana .nasikia hata rock beach ni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…