Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mwaka huu ilemela wanaenda kuweka record ya mapato . mkurugenzi wao Yuko makini sana ..robo hii wamekusanya bilion 5 badala ya bilion 3 waliyokuwa wamepanga wakusanye ...tusishangae mwaka huu wakazidiwa kidogo tu nyamagana

Sent using Jamii Forums mobile app
Operations za Nyamhongolo za boost mapato, ila wangekamilisha na stand kubwa ya Daladala hapo Nyamhongolo wangekusanya zaidi. Kwa mpango uliopo naimani watalikamilisha sababu wanahitaji mapato.
 
Operations za Nyamhongolo za boost mapato, ila wangekamilisha na stand kubwa ya Daladala hapo Nyamhongolo wangekusanya zaidi. Kwa mpango uliopo naimani watalikamilisha sababu wanahitaji mapato.
Nyie subirini tu Ilemela iwanyee kwenye mapato ndio mtakapojua, jiji la Mwanza litakuja kukaa tu kwa ilemela.
 
Tunasubiri miradi ya tactic haza ile ya kuweka kingo kwenye mto mirongo inafanya jiji kuwa bora kama miji ya wenzetu huko ulaya, hii kitu itaongeza mwonekano mzuri wa jiji ata master plan ya mwanza city ilitaja hii kitu.
Huu mradi wa kingo za mto utabadilisha mandhari ya mji kama ukisimamiwa ipasavyo.
Zamani wakati niko skyscraper city niliona Walivyo design kuna baadhi ya sehemu zitapigwa garden za kupumzikia, sijui kama plan imebadilika au la
 
Ila huyu kitana huyu mkurya ni mtu na nusu japo magufuri alitaka kumfirisi lakini ili jamaa lina pesa kama lilizaliwa nazo.
FB_IMG_1668367879746.jpg


_20221113_194153.JPG

Huko Nyuma alitaka kujenga hilo jengo mjini kati, pamba road lilikuwa liitwe kitana complex sijui aliishia wapi, ila wanaodesign majengo yake wanamfelisha
 
Ila nilipita pale sabasaba kwenye ujenzi wa chuo cha DIT kama mlivyonambia, hakika nilifika adi kwenye michoro asee michoro inavutia sana na magorofa yatakuwa ni mengi kama sita hivi, eneo l ujenzi pia sio haba pia majengo mengi ni floor nne adi sita🙏🙏🙏
Mbona umekuja na maneno tupu kaka.
 
Back
Top Bottom