Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Wacha na via duct isimame, njia nne ianze kuchakatwa, Kigongo - Busisi ikamilike, Airport terminal ianze [emoji13][emoji13][emoji13], bado mtandao wa barabara za ndani uongezeke, vyuo vikubwa vianze full operations. Kuna watu wataita maji mma
Miaka 10 ijayo Dar, Mwanza na Dodoma itakuwa ni miji iko level nyingine kabisa kimaendeleo.
 
Huu mradi wa kingo za mto utabadilisha mandhari ya mji kama ukisimamiwa ipasavyo.
Zamani wakati niko skyscraper city niliona Walivyo design kuna baadhi ya sehemu zitapigwa garden za kupumzikia, sijui kama plan imebadilika au la
Plan ni hiyo hiyo mkuu.
 
ila mwanza ni imekua sana yan kutoka nyamhongolo had buhongwa siku hz unatumia masaa 2 na nusu
Mdio maana wanaforce njia za kuunganisha Kenyatta na Msm Rd bila kupitia City center. Bus za Msm - Khm ikitoka Nyamhongolo kwenda Nyegezi lazima ipite City center.
 
Huu mradi wa kingo za mto utabadilisha mandhari ya mji kama ukisimamiwa ipasavyo.
Zamani wakati niko skyscraper city niliona Walivyo design kuna baadhi ya sehemu zitapigwa garden za kupumzikia, sijui kama plan imebadilika au la
Hivi huo mradi wa huo mto utaanzia wapi na kuishia wapi ..?
 
Namwita kmanda au mfalme wa ziwa victoria ndio jinsi mwanaume anavyotakiwa kuwa, magufuli hakumpenda kwa sababu jamaa alipata pesa kinguvu na kiharamia ndani ya ziwa ngoja niishie hapa lakini huyu mzee ni sura ya mbuzi ukiwa kwenye anga zake.
Nakumbuka kipindi nasoma pale Mwenge Primary kuna mama mmoja alikuja kulalamika kwenye mkutano wa Waziri mkuu kwamba Kitana au mwanae (sikumbuki vizuri) alimpiga risasi mwanae lakini cha ajabu hakuna hatua alizochukuliwa...
 
Back
Top Bottom