Mwanza City: The Photo Gallery

Operations za Nyamhongolo za boost mapato, ila wangekamilisha na stand kubwa ya Daladala hapo Nyamhongolo wangekusanya zaidi. Kwa mpango uliopo naimani watalikamilisha sababu wanahitaji mapato.
 
Operations za Nyamhongolo za boost mapato, ila wangekamilisha na stand kubwa ya Daladala hapo Nyamhongolo wangekusanya zaidi. Kwa mpango uliopo naimani watalikamilisha sababu wanahitaji mapato.
Nyie subirini tu Ilemela iwanyee kwenye mapato ndio mtakapojua, jiji la Mwanza litakuja kukaa tu kwa ilemela.
 
Tunasubiri miradi ya tactic haza ile ya kuweka kingo kwenye mto mirongo inafanya jiji kuwa bora kama miji ya wenzetu huko ulaya, hii kitu itaongeza mwonekano mzuri wa jiji ata master plan ya mwanza city ilitaja hii kitu.
Huu mradi wa kingo za mto utabadilisha mandhari ya mji kama ukisimamiwa ipasavyo.
Zamani wakati niko skyscraper city niliona Walivyo design kuna baadhi ya sehemu zitapigwa garden za kupumzikia, sijui kama plan imebadilika au la
 
Mbona umekuja na maneno tupu kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…