Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Kukipigwa lami kule ni hatariNalikumbuka Hilo jengo. Kifupi watu wanakiwasha huko Nyasaka, ni noma na sana. Ni eneo litakalokuwa tamu sana baadaye. Kwanza projects za maghorofa marefu zipo nyingi.
Miaka 10 ijayo Dar, Mwanza na Dodoma itakuwa ni miji iko level nyingine kabisa kimaendeleo.Wacha na via duct isimame, njia nne ianze kuchakatwa, Kigongo - Busisi ikamilike, Airport terminal ianze [emoji13][emoji13][emoji13], bado mtandao wa barabara za ndani uongezeke, vyuo vikubwa vianze full operations. Kuna watu wataita maji mma
Nakubaliana kabisa na weweMiaka 10 ijayo Dar, Mwanza na Dodoma itakuwa ni miji iko level nyingine kabisa kimaendeleo.
Plan ni hiyo hiyo mkuu.Huu mradi wa kingo za mto utabadilisha mandhari ya mji kama ukisimamiwa ipasavyo.
Zamani wakati niko skyscraper city niliona Walivyo design kuna baadhi ya sehemu zitapigwa garden za kupumzikia, sijui kama plan imebadilika au la
Hapo hamna kitu, halmashauri ifanye jambo lao mapema.Aisee stand ya nyamhongolo nimepita jion ya leo kiukweli lile tope la nje linaipunguzia credit
Mdio maana wanaforce njia za kuunganisha Kenyatta na Msm Rd bila kupitia City center. Bus za Msm - Khm ikitoka Nyamhongolo kwenda Nyegezi lazima ipite City center.ila mwanza ni imekua sana yan kutoka nyamhongolo had buhongwa siku hz unatumia masaa 2 na nusu
Hivi huo mradi wa huo mto utaanzia wapi na kuishia wapi ..?Huu mradi wa kingo za mto utabadilisha mandhari ya mji kama ukisimamiwa ipasavyo.
Zamani wakati niko skyscraper city niliona Walivyo design kuna baadhi ya sehemu zitapigwa garden za kupumzikia, sijui kama plan imebadilika au la
Nakumbuka kipindi nasoma pale Mwenge Primary kuna mama mmoja alikuja kulalamika kwenye mkutano wa Waziri mkuu kwamba Kitana au mwanae (sikumbuki vizuri) alimpiga risasi mwanae lakini cha ajabu hakuna hatua alizochukuliwa...Namwita kmanda au mfalme wa ziwa victoria ndio jinsi mwanaume anavyotakiwa kuwa, magufuli hakumpenda kwa sababu jamaa alipata pesa kinguvu na kiharamia ndani ya ziwa ngoja niishie hapa lakini huyu mzee ni sura ya mbuzi ukiwa kwenye anga zake.
😂😂😂Acha utani wa hivyo,mbona watu wa kagera wamewekeza sana tu Mwanza mfano ni Zuberi na mabasi yake na Taxes na malori yake(compititor wa mwanza huduma)Wahaya wanafanya investment za kuwahi vizimba vya kwenye masoko ya jiji la Mwanza 😂😂😂 utani tu lakini.
Hilo jina ni copyright ya yanga ..[emoji28][emoji28]Na wewe mtu wa Yanga unatumia neno utopolo[emoji23][emoji23]
Zuberi yule nasikia ni ngosha plus mhaya[emoji23][emoji23][emoji23]Acha utani wa hivyo,mbona watu wa kagera wamewekeza sana tu Mwanza mfano ni Zuberi na mabasi yake na Taxes na malori yake(compititor wa mwanza huduma)
Nilipiga picha, nikasema 9 confirmed. wacha tuone hata 10 possibleHalafu hyo hoteli ya royal ghana kuna mwamba alisema wanaishia floor 8 leo nimepita nimeona matoleo ya gorofa ya 9
Watu mnahesabu floor [emoji16][emoji16][emoji16]...siku mkiiona ghorofa linajengwa na crane msiache kunitagHalafu hyo hoteli ya royal ghana kuna mwamba alisema wanaishia floor 8 leo nimepita nimeona matoleo ya gorofa ya 9
Imekuwa Tena hotel. Sio hospital [emoji33]Halafu hyo hoteli ya royal ghana kuna mwamba alisema wanaishia floor 8 leo nimepita nimeona matoleo ya gorofa ya 9
Ceterius peribus ..(other factors remain constant.kama foleni ya magari,na kusimama kwenye vituoila mwanza ni imekua sana yan kutoka nyamhongolo had buhongwa siku hz unatumia masaa 2 na nusu
Mbona mnatuchanganya sana? Hotel au hospital?Halafu hyo hoteli ya royal ghana kuna mwamba alisema wanaishia floor 8 leo nimepita nimeona matoleo ya gorofa ya 9
Nina wasiwasi kama ni hospitali, majengo ya hospitali mara nyingi ni mafupi, ila lolote linawezekanaMbona mnatuchanganya sana? Hotel au hospital?