MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Kuna watu ni wapumbavu sana, wao ukizungumza wanakurupuka kuanza mashambulizi. Wandhani sisi wengine hatujui kutukana labda.Wakuu tubaki kwenye maada yetu ya msingi, penye mazuri hapakosi mapungufu tujikite kwenye kutoa suluhisho la Nini kifanyike. Matusi, kejeli , vijembe na dharau hapa si pahala pake.🙏🙏🙏🙏
Mimi nimefika Mwanza, nimekaa muda kidogo na nilikuwa natafuta kiwanja nimezunguka mnooo kuanzia BUSWELU, NYAMHONGOLO, KISESA YOYE, KISHIRI, mpaka MAHINA.
Nimefika kwa Rafiki yangu anaishi MHANDU na ni konda wa daldala. Nimejionea mwenyewe.
Lakini ukizungumza takataka Fulani inakuja juu utafikiri unaitakia Mwanza mabaya.
Mimi kwetu Butiama, nauli ya Mwana kwetu 10,000/= siwezi kukaa naiombea mabaya Lake zone wakati ndio kwetu.
Lazia tuzungumze HALI HALISI ili maboresho yafanyike.
Kiuhalisia Mwanza watu wanajituma sana lakini MAMLAKA zinawaangusha sana watu.