Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Zipelekwe stendi ya kisesa
Stand ya Kisesa ?

  • Ilemela wanataka pesa.
  • Stand ya Kisesa ipo ipo tu, nadhani Magu wanasita kuwekeza pale kutukana na stori za Wilaya mpya ya Kisesa.

Ingawa nadhani ingesaidia kuchangamsha pale, maana Kuna daladala huwa zinaenda pale utafikiri wamelazimishwa, nyingi zinageuzia stand ya zamani hapo Round about ya Usagara.
 
Uwezo wake ni kweli 120 buses, angalia hizi partition za basi kupaki. Partition moja inaView attachment 2422258 mistari miwili na kila mstari una uwezo wa kupanga basi 5, kwa hiyo partition moja ina uwezo wa kubeba basi 10. Na hizo partion zipo zaidi ya 10.
Angalieni vizuri mtagundua hilo
Umetumia facts na logic kuwasilisha Hoja yako[emoji106][emoji106]
1668951517889.jpg
1668951498486.jpg
 
Waweke stendi ndogo pembeni kam nyamagana wanavyotaka kufanya pale nyabulogoya, kiukweli hiyo stendi ni ndogo asee.
Of course, ni wazo zuri hasa kama wakijenga stand ya daladala ikawa pamoja na hizo coaster. Ila isiwe pale nje ya stand wanaposhushia daladala wanapotaka kuweka pelvings
 
Hii stendi ni kubwa mno kwa vyovyote vile haiwezi kujazwa na mabasi labda kama daladala zinaingia mpaka ndani ya stendi. Kusema Buzuruga na Nyamhongolo zinafanana ukubwa sio kweli, nyamhongolo ni kubwa karibia mara 2 ya Buzuruga. Kama Buruga ilikuwa haijazi mabasi iweje nyamhongolo ijae?
Hizi taarifa za nyamhongolo kujaa zimetoka wapi au kuna mtu mmoja kaamua kuzusha?
Halafu kusema basi likae zaidi ya nusu saa lipigwe faini sio sawa. Hii stendi sio kwamba mabasi yanapita yanakuja kuishia hapo na kuanzia safari hapo.
Kwa mfano gari litoke msoma lishushe ndani ya nusu saa linapata wapi abiria wa kujaza halafu ukumbuke halipo moja tu kuna mabasi mengi ya ruti hiyo
Ndugu nimetoa mawazo yangu kwa sababu ya hoja kwamba stendi imejaa.
Pili gari nyingi zinaondoka asubuhi, mpaka hiyo gari ya Musoma ifike mza gari nyingi ziliisha ondoka na stendi iko tupu kwa kiwango Kikubwa tu.
 
Naunga mkono baadhi ya hoja .ila Kwa uzoefu wangu pia maeneo ambayo umeyarefer ni Peri urban Yani nje kidogo ya mji ...ndio utapata hizo disturbance . eneo pekee ambalo Lina majaruba na liko mjini ni kati nyegezi kuja mkuyuni pembeni mwa reli pale ..na Yale ni maeneo ya viwanda..na hifadhi za reli ...eneo lingine maybe nyamhongolo ambapo ni eneo la viwanda na uwekezaji maaalumu
Hata pakikaa tupu kuna shida gani
 
Changamoto kubwa kwa Mwanza niliyoiona suala la usafiri siyo stressful Kama Dar.

Mwanza bado abiria wanaringa kupanda daladala. Ukiwa na hiace lako limechoka utapiga yowe masaa 6 abiria hawapandi.

Abiria wanataka daladala jipya au lenye TV wanasubiria Hilo Hilo.

Hivyo, wengi wanahisi wakiweka coaster kubwa hasa milango 2 Kama za Dar hawapata idadi ya abiria kujazana gari.

Hata kwasasa coaster nyingi kubwa ni zile zinazoenda sehemu Kama Buswelu au Buhongwa ambako Kuna abiria wengi.
Hii sio changamoto, mimi naona ndio vizuri ili magari mabovu yaondoke menyewe.
Hili sio jambo jipya kwa tuliokuwa zamani kidogo mtakumbuka njia ya pasiansi ilivyokuwa na express nzuri zaidi na zilikuwa na mpaka burudani ya video ndani, yaani watu walikuwa wanachungulia ndani ndio wapande.
Samahani kutumia neno express, ni neno lilokuwa linatumika mza, dar walitumia daladala, Arusha ni vifodi
 
Kwanza mwanza ni Moja ya miji yenye daladala nzuri..nimekaa dodoma ,daladala za kule vyuma chakavu vyenye injini .
.hasa ruti ya st gema ,na mnada Mpya ,,,...
 
Uwezo wake ni kweli 120 buses, angalia hizi partition za basi kupaki. Partition moja inaView attachment 2422258 mistari miwili na kila mstari una uwezo wa kupanga basi 5, kwa hiyo partition moja ina uwezo wa kubeba basi 10. Na hizo partion zipo zaidi ya 10.
Angalieni vizuri mtagundua hilo
Humu nilishagundua kuna watu huwa wazuri kwa imagination kuliko uhalisia.
Halafu wanadaka sana maneno ya mitaani kuliko yale ya kweli.
 
Dodoma ni mji wenye daladala mbovu nyingi ...uzuri wa kule makonda wake ni wastaarabu Hadi mia mbili unapanda ..makonda wa mwanza ni wahuni sana na wakorofi[emoji28]
Hiyo kuchukua 200 ni ustaarabu au wateja ni shida?
 
Hiyo kuchukua 200 ni ustaarabu au wateja ni shida?
Vyote pia vinachangia ...Kwa sababu ruti nyingi zinategemea wanafunzi wa vyuo . Wanafunzi wanapofunga vyuo Hali ya abiria inakuwaga ndogo mjini
 
Picha nzuri sana, hilo jengo lenye maandishi ya dar ceramic huwa ni mali ya Nyanza. Niliona sehemu wanatafuta pesa ili wajenge jengo kubwa la kitega uchumi, yaani naomba Mungu wapate hizo pesa, maana picha ya juu ya hilo eneo itabadilika sana ukiweka na stesheni mpya ya treni(sgr).
Majengo yote ya Nyanza yamepigwa nembo ya NHC, sijui kwanini?
 
Picha nzuri sana, hilo jengo lenye maandishi ya dar ceramic huwa ni mali ya Nyanza. Niliona sehemu wanatafuta pesa ili wajenge jengo kubwa la kitega uchumi, yaani naomba Mungu wapate hizo pesa, maana picha ya juu ya hilo eneo itabadilika sana ukiweka na stesheni mpya ya treni(sgr).
Niliiipiga kwa haraka haraka nilikua jengo la NSSF
 
Back
Top Bottom