Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hii hoteli kumbe nzuri, kaka ubarikiwe sana, yaani ww ukiwa mza ni mwendo wa picha.View attachment 2424551
View attachment 2424552View attachment 2424553
Hii project pembeni ya hii hotel inayojengwa sjui ni ya nan , naona imeanza na frem Kwa chini
Hivi ile Lake hoteli si wajitutumue nao wajenge kitu cha maana.