Vege
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 338
- 365
Dodoma na arusha wanausafiri mbaya sana ,hususani arusha vifodi vyao vimechoka sanaKwanza mwanza ni Moja ya miji yenye daladala nzuri..nimekaa dodoma ,daladala za kule vyuma chakavu vyenye injini .
.hasa ruti ya st gema ,na mnada Mpya ,,,...
Jiji ambalo lina usafiri wa public mzuri ni mbeya costa zao ni safi na speech za makondata ni nzuri