Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Kwanza mwanza ni Moja ya miji yenye daladala nzuri..nimekaa dodoma ,daladala za kule vyuma chakavu vyenye injini .
.hasa ruti ya st gema ,na mnada Mpya ,,,...
Dodoma na arusha wanausafiri mbaya sana ,hususani arusha vifodi vyao vimechoka sana
Jiji ambalo lina usafiri wa public mzuri ni mbeya costa zao ni safi na speech za makondata ni nzuri
 
Nimekutana na hii post kwenye wizara ya ujenzi....
Kuna mtu mwenye maelezo juu ya jengo la abilia uwanja wa ndege wa Mwanza...?
IMG_20221121_114221.jpg
 
Ongeza na hii nadhani itakusaidia
View attachment 2423021
Serikali hata isijisumbue kuweka pesa nyingi kwenye ujenzi wa airport za mikoa ambayo haipokei wasafiri wengi Kwa mwaka na badala yake airport za mikoa mikubwa kwanza....mwanza airport inaitaji modernization ya Hali ya juu sana. Ipanuliwe, jengo la abilia, runway ziongezwe hata control tower inatakiwa iwekwe mpya ya kisasa. Airport za vijijini hazitaridisha pesa mapema kulinganisha na za miji mikubwa.
Ila pia muda umefika hivi vidaladala vidogo vitolewe katikati ya mji viplekwe misasi huko au magu...mjini zibaki Costa tu.
 
Runway ya mwanza nazani longest kwa hapa Tanzania, contro tower pia ni ya kisasa na ata rada ni za kisasa, kitu cha msingi ni jengo la kisasa kubwa la abiria yaani tuwena terminal I and II za kisasa.
Na kuhusu usafiri wa vidaladala kuondolewa ni jambo jema lakini kuna watu watapoteza ugali wao.
 
Tuoneshe hospitali yako ambayo ina jengo bora kuliko hili iwe ni tahasisi binafsi au private owner.
Ajue tu kuwa hiyo ni hospitali ya kabisa la wasabato. It is a big investment to them.
 
Back
Top Bottom