MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Stand ya Kisesa ?Zipelekwe stendi ya kisesa
- Ilemela wanataka pesa.
- Stand ya Kisesa ipo ipo tu, nadhani Magu wanasita kuwekeza pale kutukana na stori za Wilaya mpya ya Kisesa.
Ingawa nadhani ingesaidia kuchangamsha pale, maana Kuna daladala huwa zinaenda pale utafikiri wamelazimishwa, nyingi zinageuzia stand ya zamani hapo Round about ya Usagara.