Mwanza City: The Photo Gallery

Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta hardcopy ya masterplan ya mwanza.
Inaonyesha hili eneo linavyotakiwa kuwa mpaka mwaloni.
Kitana ni mtu wa hovyo sana, amejenga pale kwa ubabe ila masterplan haimruhusu.
Mkuu tungesubiri masterplan ingechukua muda mrefu sana, kitana ni mwekezaji binafsi na amewekeza safi vizuri sana maeneo kwa kuboresha mandhari ya maeneo hayo kama hujafika hapo mitaa ya mkombozi ferry nakuomba siku ukija upite ujionee, pia eneo lililobaki ni kubwa sana waanze na hilo kwanza kwa tampere park wasitafute chaka la kujificha.
 
Kama unazungumzia eneo lililo karibu na Mkombozi ferry linalotumika kama parking ya malori na mizigo ni Mali ya Kishimba! Sijui itakuwaje!
 
Mawazo ya kwenye makaratasi ni mazuri ila kwenye utekelezaji ndio changamoto
 
Mimi hamna watu ambao sina hamu nao kama Tampere 😁 wale jamaa tangu nikiwa kinda nawasikiaga tuu Ila sijawahi ina wamewekeza nini , kuna jiji dada pia linaitwa sjui warzburg, nalo sijawah ona limefanya nn
Wurzberg walijenga barabara ya bugando ile wurzberg road, pia gallow tree, guzet house hapo makoroboi, pia wanatoa vifaa vya uvuvi wa kisasa hapo mkuyuni na miradi mbalimbali ya maji huko vijiji vya magu, pia wanadhamini masomo kwa wanafunzi wa bugando baadhi pia wanabadilisha utaalamu na chuo cha afya cha wurzberg.
 
Hapajapendeza, na jengo lenyewe la kishamba, huwezi jenga jengo la kishamba vile kwenye water front
 
Kama unazungumzia eneo lililo karibu na Mkombozi ferry linalotumika kama parking ya malori na mizigo ni Mali ya Kishimba! Sijui itakuwaje!
Kwasasa ametenga maeneo na kajenga majengo ya kuvutia eneo hilo pia wewe huoni lile jengo lake linavyovutia? Mkisubiri masterplan ya serikali itachukua miaka 200.
 
Mimi hamna watu ambao sina hamu nao kama Tampere 😁 wale jamaa tangu nikiwa kinda nawasikiaga tuu Ila sijawahi ina wamewekeza nini , kuna jiji dada pia linaitwa sjui warzburg, nalo sijawah ona limefanya nn
Wurzburg walijenga barabara ya bugando ikabadilishwa na Jina, sikupenda walivyobadili jina
 
Hapajapendeza, na jengo lenyewe la kishamba, huwezi jenga jengo la kishamba vile kwenye water front
Mkuu haya tusubiri tampere park na masterplan ya kwenye makaratasi, eneo lilibaki ni kubwa sana waanze na hilo kwanza wasitafute excuses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…