Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Hakuna kisichowezekana ni kujipanga tuu na sio lazima watumie bilion 50, kama wakurugenzi wanaendesha magari ya milioni 500 kwanini isiwezekane?Jiji lijenge .Kwa mapato Gani . estimate ya Gharama ya barabara Ile si chini ya bilioni 50 ...mapato ya nyamagana ni kama bilion 20 ....ukisema zote uziweke kwenye barabara.sekta zingine je