Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Watu wengi wnaofikiri Mwanza iko sawa hawako Mwanza, au Kama wako Mwanza Basi hawajatembea mikoa mingine Kama Dar!!!

In short, Mwanza ni Jiji lililotengwa mnoooo. Asilimia kubwa ya kila unachokiona Mwanza ni nguvu ya watu wenyewe.

Hivi kweli hata barabara za mitaa, serikali imeshindwa kabisa yaani????
Sasa nini kifanyike ili kuweza kuondoa changamoto hzo .....ifike wakati sasa halmashauri zitoe municipal bond ili ziweze kufadhili miradi yake
 
Kwenye hii video nyegezi pamendeza sana[emoji116]
PSX_20221126_214631.jpg
PSX_20221126_214227.jpg
 
Majaruba Mwanza yamejaa kila Kona, kuanzia Buswelu Busenga,Isela, Nyamhongolo, Kisesa n.k.

Viwanja vilivyo wazi ni vingi sana Buswelu, Nyakato, Kangaye, Nyegezi, Nyamhongolo nk.

In short, ukinunua kiwanja Kuna 98% ukatapeliwa.

Hili nazungumza kwa uzoefu kabisa.

Nambie watu wanaoishi Bukaga Kishiri wanaendaje?

Watu wanaoishi Kitumba Kisesa wanaendaje?

Watu wanaoishi Mwahuli, Bujora Kisesa wanaendaje?

Watu wanaoishi Nyakato National wanaendaje?

Watu wanaokaaa Buswelu, Kuna barabara moja tu baadaye ya hapo ni Bajaj au Bodaboda.

Watu wamejaa mpaka Isela huko wanafikaje?

Malimbe, Luchelele huko?
We jamaa unazingua
 
Kiukweli barabara ya kenyata na nyerere zinatakiwa zipanuliwe pia barabara ya airport had nyanguge au kisesa ijengwe hv vibarabara vya buhongwa to igoma na mkuyuni to nyakato zilitakiwa ziwe zimejengwa hata kabla ya magu hajawa Raisi
Jiji la mwanza linakusanya billions kila mwaka, wajenge sio lazima wasubiri serikali kuu, na maji jiji likiamua linaweza kujenga mitambo ya kutosheleza kusambaza jiji lote, nina uhakika hata wanaweza kukusanya zaidi kama wakiwa makini
 
Jiji gani limejenga barabara?
Namaanisha barabara kubwa
 
Jiji gani limejenga barabara?
Namaanisha barabara kubwa
Sio kwa sababu hakuna aliyejenga basi nao haitawezekana, ni kujipanga tuu naamini jiji la mwanza linakusanya billions na kisheria kama jiji wanaweza kukopa au kutafuta grant kufanya miradi yao, kitu kama maji wanaweza kuamua kutenga fedha kila mwaka na kujenga kwa awamu hata miaka 10 kumaliza hilo tatizo, hakuna kisichowezekana
 
Jiji la mwanza linakusanya billions kila mwaka, wajenge sio lazima wasubiri serikali kuu, na maji jiji likiamua linaweza kujenga mitambo ya kutosheleza kusambaza jiji lote, nina uhakika hata wanaweza kukusanya zaidi kama wakiwa makini
Jiji lijenge .Kwa mapato Gani . estimate ya Gharama ya barabara Ile si chini ya bilioni 50 ...mapato ya nyamagana ni kama bilion 20 ....ukisema zote uziweke kwenye barabara.sekta zingine je
 
Sio kwa sababu hakuna aliyejenga basi nao haitawezekana, ni kujipanga tuu naamini jiji la mwanza linakusanya billions na kisheria kama jiji wanaweza kukopa au kutafuta grant kufanya miradi yao, kitu kama maji wanaweza kuamua kutenga fedha kila mwaka na kujenga kwa awamu hata miaka 10 kumaliza hilo tatizo, hakuna kisichowezekana
Jiji wana barabara zao wanajenga chini ya TARURA..mfano barabara ya buzuruga meco nyakato....
Lakini barabara hizi kubwa ziko chini ya tanroad....jiji hawahusiki
 
Back
Top Bottom