Wurzberg walijenga barabara ya bugando ile wurzberg road, pia gallow tree, guzet house hapo makoroboi, pia wanatoa vifaa vya uvuvi wa kisasa hapo mkuyuni na miradi mbalimbali ya maji huko vijiji vya magu, pia wanadhamini masomo kwa wanafunzi wa bugando baadhi pia wanabadilisha utaalamu na chuo cha afya cha wurzberg.
Aah sawa wako vizur , wakipata uongozi makini wanaweza fanya makubwaWurzburg walijenga barabara ya bugando ikabadilishwa na Jina, sikupenda walivyobadili jina
Tampere city ni jiji rafiki kwa maneno tu ukizingatia bajeti ya tampere park yenyewe ndio maana jamaa waliamua kulala mbele, cha kufanya ni kuwahusisha wawekezaji binafsi wakatiwe maeneo wapewe na michoro kwa kila eneo wanachotakiwa kujenga kwa eneo husika hakuna namna.Mimi hamna watu ambao sina hamu nao kama Tampere 😁 wale jamaa tangu nikiwa kinda nawasikiaga tuu Ila sijawahi ina wamewekeza nini , kuna jiji dada pia linaitwa sjui warzburg, nalo sijawah ona limefanya nn
Master plan haimaanishi kwamba huruhusiwi kujenga bali unajenga kulingana na kinachotakiwa kujengwa, sehemu ya soko lijengwe soko na sio shule.Kwasasa ametenga maeneo na kajenga majengo ya kuvutia eneo hilo pia wewe huoni lile jengo lake linavyovutia? Mkisubiri masterplan ya serikali itachukua miaka 200.
Tampere park kaombwa kujenga garden tu,ambayo ni sehemu za kupumzikia na michezo, ila kuna miradi mingi hilo eneoTampere city ni jiji rafiki kwa maneno tu ukizingatia bajeti ya tampere park yenyewe ndio maana jamaa waliamua kulala mbele, cha kufanya ni kuwahusisha wawekezaji binafsi wakatiwe maeneo wapewe na michoro kwa kila eneo wanachotakiwa kujenga kwa eneo husika hakuna namna.
Subiri jengo liishe ndio tumuhukumu kitana, lakini kati ya kamanga ferry na mkombozi ferry nani ameharibu mandhari ya ziwa?Master plan haimaanishi kwamba huruhusiwi kujenga bali unajenga kulingana na kinachotakiwa kujengwa, sehemu ya soko lijengwe soko na sio shule.
Masterplan sio kwamba jiji wanajenga bali ni sekta binafsi.
Kaenda kujenga godown sehemu ambayo sio godown.
Basi na watu wa milimani tuwasifu kwa ujenzi wao? Maana hawajafuata masterplan.
Huko pembeni kuna njia mpaka ya metro, kuna prominade, hata kama hatujengi sisi, vizazi vijavyo vita jenga.
Anyway sisi ni vizazi vya bomoabomoa
Kaombwa kwa miaka 15 na bado hajajenga hiyo park, na halmashauri inaendelea kumsubiri huu ni ujinga, tujenge wenyewe hiyo park, ilemela na Mwanza cc wanashindwa nini mbona tunakuwa omba omba.Tampere park kaombwa kujenga garden tu,ambayo ni sehemu za kupumzikia na michezo, ila kuna miradi mingi hilo eneo
Ni pesa nyingi sanaMe nilizani tampere park ingetumia kama bilion 50 tu kumbe ni trillion 3 duh ni hatari sana.
Izo Trillion 3 nizqkufumua jiji lote lindane na Master plan sio Tampere pekeeMe nilizani tampere park ingetumia kama bilion 50 tu kumbe ni trillion 3 duh ni hatari sana.
Wote wanatakiwa kutoka, yaani kama Kamanga kaharibu basi tumwache kitana naye a haribu?Subiri jengo liishe ndio tumuhukumu kitana, lakini kati ya kamanga ferry na mkombozi ferry nani ameharibu mandhari ya ziwa?
Bora useme hivyo, ila haimaanishi tampere wakishindwa basi kitana ajenge uchafu wake, kwa nini asingejenga hiyo project inavyotakiwa si pesa anayo.Kaombwa kwa miaka 15 na bado hajajenga hiyo park, na halmashauri inaendelea kumsubiri huu ni ujinga, tujenge wenyewe hiyo park, ilemela na Mwanza cc wanashindwa nini mbona tunakuwa omba omba.
Kitana mwenyewe alishashindwa kufanya finishing katika jengo lake hapo kirumba naona haifai hata kupewa maeneo mengine ayajenge! Yule ni tajiri lakini sionagi cha maana maana uwekezaji wake hauko smart! Nikifika hapo kirumba naonaga kama magofu tu!Bora useme hivyo, ila haimaanishi tampere wakishindwa basi kitana ajenge uchafu wake, kwa nini asingejenga hiyo project inavyotakiwa si pesa anayo.
Hapo mjini kati wanataka kujengwa ghorofa at least floor 8.
Akitokea mtu kajenga jengo la floor 3 huyo kavunja sheria
Wakati wanafumua waanze na wakazi wa milimani hasa sahara, igogo, mabatini na mbugani.Izo Trillion 3 nizqkufumua jiji lote lindane na Master plan sio Tampere pekee
Huyo kamanga bado hataki kutoka eneo hilo kupisha sgr kwasababu ya rushwa.Wote wanatakiwa kutoka, yaani kama Kamanga kaharibu basi tumwache kitana naye a haribu?
Kwa staili hii tutaendelea kusifia miji ya watu
Safi sana kamanda, je NHC nao wachukuliwe hatua kali za kisheria kujenga nyumba katikati ya jiji.Bora useme hivyo, ila haimaanishi tampere wakishindwa basi kitana ajenge uchafu wake, kwa nini asingejenga hiyo project inavyotakiwa si pesa anayo.
Hapo mjini kati wanataka kujengwa ghorofa at least floor 8.
Akitokea mtu kajenga jengo la floor 3 huyo kavunja sheria
Kama mipango miji walikuwa wamelala, wangempa mikakati nini afanye eneo hilo na huu si muda wa kumlaumu vitu vingi viliingia hapo katu na mambo ya siasa pia.Kitana mwenyewe alishashindwa kufanya finishing katika jengo lake hapo kirumba naona haifai hata kupewa maeneo mengine ayajenge! Yule ni tajiri lakini sionagi cha maana maana uwekezaji wake hauko smart! Nikifika hapo kirumba naonaga kama magofu tu!
Barabara ziko hatua ya mwisho .washaweka zege na lami Tayari... nyegezi Pako vizuri.sio haba tuombe wawekezaji waweke vitu pale .pawe kama Morocco darUlipita nyegezi kwasasa sipo Mwanza nimetoka, je zile barabara zakuingia na kutoka zimeshakamilika?
Hope Ghana ... itakuwa sura ya jiji soonKuna jengo lingine kubwa sana linatarajiwa kuinuka ni maeneo ya ghana upande wa kulia kama unaenda airport .. shimo lililochimbwa kwa ajili ya msingi ni kubwa sana nadhani litapanda hewani nitaleta picha muone
Proposal Iko poa ,,lakin implementation plan Yao Ina kasoro ...mradi trillion 3 sidhani kama Kuna mwekezaji HIV karibuni wa kuweza kuweka pesa zote hzo kwenye mradi ......hapo halmashauri iugawe mradi ,,uwepo mradi wa hayo majengo,uwepo mradi wa beaches,na uwepo mradi wa facilities nyingine na hii Miradi wapewe wabia tofauti tofauti..waongee na NSSF,PSSSF,au bakhresa .......Mawazo ya kwenye makaratasi ni mazuri ila kwenye utekelezaji ndio changamoto