Mwanza City: The Photo Gallery

Masterplan tuliyonayo Inasoma 2015 - 2035, sasa nhc wamejenga nini labda uniambie wewe
Utakuwa hujafika Mwanza muda mrefu, pembeni ya hilo soko jipya linalojengwa upande wa kulia wamejenga wamejenga nyumba yenye frame za biashara, kushoto market road wamejenga nyumba ya frame za kibiashara na zimekamilika mwaka huu.
Nakuuliza je hii ni sawa? Na je hao NHC ndio wanapaswa kwenda kinyume na masterplan? Je kama shirika la kiserikali linafanya utumbo huu je watu binafsi wafanye nini?
 
Hivi project ya ujenzi wa Mega mall complex pale Nyakato ipo active au ilishajifiaa kitambo wenye kujua atujuzee
 
Daraja la kigongo busisi lipo asilimia 61 lilitarajiwa kuisha February 2024 badala yake wameongeza miez 8 mpk November 2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…