Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Utakuwa hujafika Mwanza muda mrefu, pembeni ya hilo soko jipya linalojengwa upande wa kulia wamejenga wamejenga nyumba yenye frame za biashara, kushoto market road wamejenga nyumba ya frame za kibiashara na zimekamilika mwaka huu.Masterplan tuliyonayo Inasoma 2015 - 2035, sasa nhc wamejenga nini labda uniambie wewe
Nakuuliza je hii ni sawa? Na je hao NHC ndio wanapaswa kwenda kinyume na masterplan? Je kama shirika la kiserikali linafanya utumbo huu je watu binafsi wafanye nini?